Simba Day Event Attracting Thousands and Promoting Ngorongoro
Habari mpya za tourism Tanzania · maelezo ya Simba Day Event Attracting Thousands and Promoting Ngor… · imesasishwa 9 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Kwa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na Klabu ya Simba kukamilisha tukio hilo jana tarehe 8, Agosti 2026 ni kama wamepiga bao la kusigino kutokana na maelfu ya watu kushiriki na kuridhika kwa mafanikio ya “Simba Day”.
- Waswahili husema Chanda chema huvikwa pete msemo ambao umedhihirika siku ya mnyama “Simba Day “ baada ya klabu hiyo kumtunuku tuzo Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Abdul-Razaq Badru kutokana na.
- Kamishna Badru amekabidhiwa tuzo hiyo kutokana na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kukubali na kushiriki kikamilifu maadhimisho ya wiki ya simba ambapo mamlaka ilitumia fursa hiyo kutangaza shughuli zake za uhifadhi na.