Services Offered by Specialists at Gakala Hospital
Habari mpya za afya Tanzania · maelezo ya Services Offered by Specialists at Gakala Hospital · imesasishwa 12 Aug 2026 · habari za afya · hospitali · afya ya umma
Muhtasari
- Na George Maziku, Geita HOSPITALI ya Gakala iliyopo kijiji cha Masumbwe, kata ya Bukandwe, wilaya ya Mbogwe inategemea kupokea jopo la madaktari bingwa watakaotoa huduma mbalimbali kuanzia tarehe 17 Agosti, mwaka huu.