Samia Fashion Festival to Support Children Living with HIV and Cancer
Habari mpya za civil society Tanzania · maelezo ya Samia Fashion Festival to Support Children Living with… · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- MWANAMITINDO wa Kimataifa Happiness Magese ametangazwa kuwa Jaji Mkuu wa Tamasha la Ubunifu la 'Samia Fashion Festival' litakalofanyika kesho kutwa Novemba 30,2024 Visiwani Zanzibar.
- Akizungumza na waandishi leo baada ya kutangazwa kuwa Jaji Mkuu wa Tamasha hilo , Magese amesema kuwa ni heshima kubwa na furaha kwake kusimama kama Jaji Mkuu wa Samia wa Fashion Festival 2024 na anajivunia kushuhudia.
- Samia Suluhu Hassan.Amesema yeye na wengine walioteuliwa kuwa majaji wanaamini tukio hilo ni kubwa na litakalobakia katika kumbukumbu zao kwa miaka mingi ijayo kutokana na kuteuliwa kwao kuwa majaji wa Samia Fashion.