Resistance to Change as a Barrier to Business Success
Habari mpya za biashara Tanzania · maelezo ya Resistance to Change as a Barrier to Business Success · imesasishwa 10 Aug 2026 · habari za biashara · kampuni · uwekezaji
Muhtasari
- Teknolojia ya leo si ya mwaka jana.Wafanyabiashara wanaokataa mabadiliko (resistance to change) hujikuta wakipitwa na wakati kwa sababu: Hawabadilishi mbinu za mauzo Hawatumii mitandao Hawatengenezi bidhaa mpya Hawasomi.