Aidha Mheshimiwa Chatanda amesema kwa kuonesha namna ambavyo ameridhishwa na kufurahishwa UWT Taifa itamuandikia barua maalumu ya kumshukuru Mheshimiwa Maryprisca ili kuendelea kumtia moyo.
Tunakupongeza sana kwa moyo wako uliouonesha kwa Chama chetu, Mimi binafsi nakupongeza sana,Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni, umetoa sadaka sisi tunaipokea kwa mikono miwili,hongera sana.
.jpg)