RC Makalla's Praise for NM-AIST's Innovations in Agriculture and Livestock
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya RC Makalla's Praise for NM-AIST's Innovations in Agricu… · imesasishwa 9 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Makalla ameyasema hayo wakati akihitimisha Maonesho ya 32 ya Kilimo, Mifugo na Sherehe za Nanenane Kanda ya Kaskazini, yaliyofanyika katika Viwanja vya Themi Njiro, Arusha.
- CPA Amos Makalla, ameipongeza Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) kwa tafiti na bunifu mbalimbali zinazolenga kuongeza tija katika sekta za kilimo na mifugo.
- Makalla amesema kuwa ametembelea banda la NM-AIST na kujionea teknolojia mbalimbali za kilimo na mifugo, pamoja na bunifu zinazolenga kuongeza thamani ya mazao na bidhaa za mifugo.