Mafunzo hayo ni sehemu ya mkakati wa PSSSF wa kuendelea kushirikiana na wadau mbalimbali, hususan vyombo vya habari, katika kuelimisha umma kuhusu umuhimu wa hifadhi ya jamii na huduma zinazotolewa na mfuko huo.
Mafunzo hayo ni sehemu ya mkakati wa PSSSF wa kuendelea kushirikiana na wadau mbalimbali, hususan vyombo vya habari, katika kuelimisha umma kuhusu umuhimu wa hifadhi ya jamii na huduma zinazotolewa na Mfuko huo.