Mada zilizoorodheshwa
TRANSPORT 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Proposal for Early Plan to Regulate Bajaji and Bodaboda Operations in Geita

Habari mpya za transport Tanzania · maelezo ya Proposal for Early Plan to Regulate Bajaji and Bodaboda… · imesasishwa 12 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo

Muhtasari

  • Mwenyekiti wa Waendesha Bajaji mkoani Geita, Mussa Kisoke amesema mpaka sasa Manispaa ya Geita ina jumla ya bajaji 1,680, Mamlaka ya Mji mdogo wa Katoro bajaji 321 na Chato bajaji 210.
  • Mwenyekiti wa Madereva wa Bodaboda Mkoa wa Geita, Fred Fidelis amesema mpaka sasa kuna takribani wanachama 5,000 wanaotambuliwa katika kata 13 za Manispaa ya Geita.
  • Fred amesema pia jumla ya maegesho rasmi 123 yanayotambuliwa yamesajiliwa ndani ya Manispaa ya Geita, ambapo bodaboda wote wamepewa vitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
  • Ameongeza pia njia panda ya Mganza kuna bajaji 50, eneo la Bwanga bajaji 65, mji mdogo wa Runzewe bajaji 154, wilaya ya Nyang’hwale bajaji sita huku bajaji nne katika Kata ya Nzera.
  • Amesema Mji wa Geita ni miongoni mwa miji inayokua kwa kasi, lakini kumekuwa na wimbi kubwa la bodaboda na bajaji za abiria, hali inayosababisha foleni na misongamano isiyo ya lazima na kuhatarisha usalama wa barabarani.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Proposal for Early Plan to Regulate Bajaji and Bodaboda…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.