Program to Enhance Physical Health for Judiciary Staff in Njombe
Habari mpya za afya Tanzania · maelezo ya Program to Enhance Physical Health for Judiciary Staff… · imesasishwa 13 Aug 2026 · habari za afya · hospitali · afya ya umma
Muhtasari
- Na ABDALLAH SALUM, Mahakama-Njombe Watumishi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Njombe wameanza kufanya mazoezi ya pamoja ikiwa ni programu maalum ya kuimarisha afya ya mwili, kuimarisha mahusiano na kuongeza.
- Aidha, alieleza kuwa Taasisi nyingine kama Ofisi ya Taifa ya Mashtaka (NPS) ya mkoani humo wameonesha nia ya kuungana na Mahakama katika program hiyo.Kwa upande wa watumishi wa Mahakama Njombe wameonesha kufurahia.
- Mahakama Kuu Njombe imeanzisha programu hiyo maalum ya mazoezi inayowahusisha watumishi wote wa Mahakama hiyo.
- Katika nyakati tofauti tofauti, Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Njombe, Mhe.
- Kutoka kushoto ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Njombe, Mhe.Victoria Nongwa, Viongozi na watumishi wengine kwa pamoja wakiwa kwenye mazoezi ya viungo.