Kwa uzalishaji huu wa mkaa banifu, tunapunguza kwa kiasi kikubwa utegemezi wa mkaa wa kawaida unaochochea ukataji wa miti. Hivyo, teknolojia hii inasaidia kuhifadhi misitu, kulinda mazingira na kuhakikisha vyanzo vya maji vinaendelea kuwa salama.
Kilanoza says his production of about 10 tonnes of briquettes per day has the potential to save between 300 and 500 trees that would otherwise be cut to produce conventional charcoal.