Over 80 Billion Worth Development Projects Launched by Mwenge wa Uhuru 2026
Habari mpya za public admin Tanzania · maelezo ya Over 80 Billion Worth Development Projects Launched by… · masasisho 2026 · imesasishwa 3 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Bunda,Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Anamringi Macha leo 1 Agosti i, 2026 amekabidhi Mwenge wa Uhuru Mkoani Mara.Mhe.Macha amekabidhi Mwenge huo Wilayani Bunda Mkoani Mara kwa Mkuu wa Mkoa huo Mhe.Kanali Evance Mtambi baada.
- Mhe.Macha amesema Mwenge wa Uhuru 2026 ulikimbizwa Km 641 ambapo ulizindua, kuweka jiwe ya msingi na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya Bilioni 80.