mpango huo ulikumbana na upinzani mkubwa kutoka kwa wadau wa soka duniani. Mashirikisho matatu ya mabara yaliukataa rasmi, huku UEFA ikitishia kususia michuano ya Dunia na mashindano mengine ya FIFA iwapo mpango huo ungesukumwa mbele.
Infantino alilazimika kuachana na mpango huo baada ya kukosolewa vikali na wadau wa FIFA, likiwamo Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA).