Mkoa wa Dodoma umeweka mkazo mpya katika kukuza zao la zabibu kuwa zao la kimkakati kiuchumi, kwa kuimarisha uzalishaji, matumizi ya teknolojia za kisasa, uongezaji thamani na upatikanaji wa masoko yenye tija kwa wakulima.
Dodoma Region is committed to ensuring that grapes continue to be developed as a strategic crop due to their significant contribution to the economy of the Region and the country as a whole.