Nandy Advocates for 'Made in Tanzania' Branding in International Markets
Habari mpya za biashara Tanzania · maelezo ya Nandy Advocates for 'Made in Tanzania' Branding in Inte… · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari za biashara · kampuni · uwekezaji
Muhtasari
- Msanii maarufu wa kizazi kipya, Faustine Mfinanga maarufu Nandy, ameomba Watanzania kuitangaza kwenye shughuli zao nembo ya 'Made in Tanzania' ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
- Nembo ya Made in Tanzania inasimamiwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE), na inalenga kuimarisha utambulisho wa bidhaa za Tanzania katika masoko ya ndani na nje ya nchi.