Medical Camp at Gakala Hospital from August 17 to August 21
Habari mpya za afya Tanzania · maelezo ya Medical Camp at Gakala Hospital from August 17 to Augus… · imesasishwa 12 Aug 2026 · habari za afya · hospitali · afya ya umma
Muhtasari
- Na George Maziku, Geita HOSPITALI ya Gakala iliyopo kijiji cha Masumbwe, kata ya Bukandwe, wilaya ya Mbogwe inategemea kupokea jopo la madaktari bingwa watakaotoa huduma mbalimbali kuanzia tarehe 17 Agosti, mwaka huu.