Kikao Kazi cha Sita (6) cha Serikali Mtandao kuimarisha matumizi ya TEHAMA
Habari mpya za public admin Tanzania · maelezo ya Kikao Kazi cha Sita (6) cha Serikali Mtandao kuimarisha… · masasisho 2026 · imesasishwa 4 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Kusiluka ameyasema hayo wakati akifungua Kikao Kazi cha sita (6) cha Serikali Mtandao kilichofanyika tarehe 17–19 Februari, 2026 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), jijini Arusha.Akizungumza.
- Vilevile, Balozi Kusiluka alizitaka Taasisi zote za Umma kuzingatia Sheria ya Serikali Mtandao ya Mwaka 2019, Kanuni, Viwango na Miongozo ikiwemo kuwasilisha andiko la miradi ya TEHAMA e-GA, kabla ya kuanzisha miradi.
- Alisema hatua hii ni sehemu ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya Mwaka 2050, kupitia lengo la kuhakikisha, zaidi ya asilimia 80 ya huduma za Serikali zinapatikana kupitia mifumo ya kidijitali iliyo salama na.
- Ndomba alimshukuru Katibu Mkuu Kiongozi kwa kufungua Kikao Kazi hicho, na kuahidi kusimamia utekelezaji wa maelekezo yote yalitolewa ili kuimarisha Utekelezaji wa Jitihada za Serikali Mtandao.Kikao kazi cha sita (6) cha.
- Hivyo, mnapaswa kusimamia matumizi ya teknolojia na kuhakikisha inatuletea maendeleo na siyo uharibifu,” alisisitiza.Alisema ni matarajio yake kuwa Kikao kazi hicho kitakuja na maazimio ya namna ya kutumia teknolojia.