Mada zilizoorodheshwa
KILIMO 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Kibo Seed's Quality Seeds Yield Potential by Farming Zone

Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Kibo Seed's Quality Seeds Yield Potential by Farming Zo… · imesasishwa 3 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao

Muhtasari

  • Afisa Uzalishaji wa Mbegu wa kampuni ya Kibo Seed Co.Ltd ,Marko Msheishiwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Taso Njiro.
  • Arusha .WAKULIMA kanda ya kaskazini wametakiwa kutembelea banda la kampuni ya Kibo Seed katika maonesho ya nanenane ili kuweza kupata elimu kuhusu matumizi ya mbegu bora za mahindi na mbogamboga ili kuongeza uzalishaji.
  • Hayo yamesemwa leo jijini Arusha na Afisa Uzalishaji wa Mbegu wa kampuni ya Kibo Seed Co.Ltd ,Marko Msheishiwa wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Taso.
  • Ameongeza kuwa, moja ya sifa zinazotofautisha mbegu za Kibo Seed na kampuni nyingine ni ubora wake, hususan kwa mahindi yanayofaa kuchomwa na kukobolewa, ambayo ni matamu na yanakubalika na watumiaji wengi.
  • Aidha Msheishiwa ametoa wito kwa wakulima na wananchi kutembelea banda la Kibo Seed katika maonyesho ya Nanenane jijini Arusha ili kupata elimu kuhusu mbegu bora, kuona mashamba ya mfano na kupata ushauri wa kitaalamu.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Kibo Seed's Quality Seeds Yield Potential by Farming Zo…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.