Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Bi. Khadija Ngasongwa, ameshiriki kilele cha Maonesho ya 33 ya Kimataifa ya Kilimo ya Nane Nane, yaliyofanyika katika viwanja vya Dkt.John Malecela Nzunguni Jijini Dodoma yakilenga kuimarisha tija, uzalishaji na upatikanaji wa masoko kwa wakulima, wafugaji, wavuvi na wadau wa sekta ya kilimo nchini.
BI. NGASONGWA ASHIRIKI KILELE CHA MAONESHO YA NANENANE, ATOA ELIMU YA USHINDANI NA BIDHAA BANDIA