Amesema uwekezaji katika miundombinu ni nguzo muhimu ya kukuza uchumi, kuongeza ushindani wa Afrika, kuvutia wawekezaji na kuimarisha biashara ndani ya bara.
Amesema Tanzania imeendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa katika miundombinu ikiwemo upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam, ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), viwanja vya ndege pamoja na miradi ya barabara na nishati ili kuimarisha nafasi yake kama lango la biashara kwa nchi zisizo na bandari kama Burundi, Rwanda, Uganda, Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Strengthening partnerships and increasing investment will help accelerate the implementation of high-impact infrastructure projects, enhance economic competitiveness and deliver long-term benefits to the people of our continent.
