Mada zilizoorodheshwa
TRADE 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Introduction of Tanzania Customs Agent Management System (T-CAMS) to Enhance Customs Operations

Habari mpya za trade Tanzania · maelezo ya Introduction of Tanzania Customs Agent Management Syste… · imesasishwa 7 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo

Muhtasari

  • Mfumo huu pia ni utekelezaji wa tangazo katika gazeti la serikali (GN) namba 83 la Machi, 2026 lililotolewa na shirika la uwakala wa meli Tanzania (TASAC).
  • Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) wamekuja na Mfumo wa Tanzania Customs Agent Management System (T-CAMS) uliotengenezwa na kampuni ya Capital Pay Ltd iliyosajiliwa hapa nchini ikiwa ni sehemu ya mageuzi.
  • Kwa kupunguza migogoro ya malipo, kuongeza uwazi na kuharakisha michakato ya biashara, T-CAMS itaongeza mvuto wa kutumia Bandari za Tanzania kwa wafanyabiashara kutoka nchi jirani.
  • Kadiri wadau watakavyoendelea kuunga mkono matumizi ya T-CAMS, ndivyo Tanzania itakavyozidi kujijengea sifa ya kuwa kitovu cha biashara na usafirishaji katika Afrika Mashariki na Kati.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Introduction of Tanzania Customs Agent Management Syste…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.