Kwa mara ya kwanza katika historia ya miaka 19 ya PMAYA, mbali na washindi wa kategoria za Tuzo, PMAYA itatangaza Mabalozi sita wa ESG (ESG Ambassadors), wazalishaji walioainishwa kupitia kazi ya tathmini ya ESG inayoendelezwa na CTI kama viongozi katika utekelezaji wa masuala ya Mazingira, Jamii, na Utawala Bora.
for the first time in its 19-year history, apart from the Award Category Winners, PMAYA will name six Environmental, Social, and Governance (ESG) Ambassadors, manufacturers identified through CTI's ongoing ESG assessment work as leaders in environment, Social, and Governance practice.