Uwepo wa akili unde una gharama zake za uendeshaji na sasa Instagram italimpisha mtu kuweza kutumia huduma ya akili mnemba ambayo ni ya hali ya juu.
Hii ina maana kwamba kadri Instagram inavyoendelea kuongeza uwezo wa AI ndani ya programu, ndivyo baadhi ya vipengele hivyo vitakavyohamia kwenye huduma za Premium.