Mada zilizoorodheshwa
MICHEZO 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Habib Kondo Appointed Head Coach of Bandari Tanzania for Upcoming Championship League

Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Habib Kondo Appointed Head Coach of Bandari Tanzania fo… · imesasishwa 12 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo

Muhtasari

  • KOCHA mzoefu nchini Habib Kondo ametangazwa rasmi kuwa kuwa Kocha Mkuu wa Bandari Tanzania akitarajiwa kukiongoza kikosi hicho kwenye Ligi ya Championship inayotarajiwa kuanza baadaye mwezi huu.
  • Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imesema Kondo, aliyewahi kuzifundisha klabu nyingi za Ligi Kuu kama Mtibwa Sugar, Majimaji na KMC amepewa jukumu hilo mara baada ya timu hiyo kupanda ikitokea 'first league', akichukua.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Habib Kondo Appointed Head Coach of Bandari Tanzania fo…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.