He said the agricultural sector had grown rapidly and created more employment opportunities, particularly for young people.
Amesema mazingira yanayoendelea kuwekwa na Serikali kupitia mikopo ya halmashauri, taasisi za kifedha na benki yanatoa nafasi kwa vijana kuwekeza katika kilimo cha kisasa chenye tija.