Emphasis on Effective Use of New Research Equipment at TARI Naliendele
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Emphasis on Effective Use of New Research Equipment at… · imesasishwa 13 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- MTWARA: WATAALAMU wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Naliendele mkoani Mtwara wametakiwa kuendelea kufanya vizuri kazi ya utafiti ili kuleta tija ya uzalishaji kwenye zao hilo.