SOME leaders of the opposition party CHADEMA in Katavi Region have said they are ready for national reconciliation in the interest of the country, but insist that the process should only take place after the party's National Chairman, Tundu Lissu, is released.
Katibu wa Baraza la Wazee mkoani humo, Anthony Kalala, amesema kuwa wana imani maridhiano ndio njia pekee ya kujenga umoja wa kitaifa lakini ameomba maridhiano hayo yafanyike baada ya Lissu kutoka.