Bruno Guimaraes's Interest in Joining Arsenal
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Bruno Guimaraes's Interest in Joining Arsenal · masasisho 2025 · imesasishwa 4 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- Arsenal walishaweka mezani ofa yao ya Pauni milioni 70 lakini mabosi wa Newcastle waligoma, wakisema haitoshi kumng’oa kiungo huyo klabuni hapo.
- Aidha, wakati huu mazungumzo yakiendelea, Guimaraes amesafiri na kikosi cha Newcastle kwenda Hispania kwa ajili ya kambi ya msimu ujao (2026-27).
- LONDON, Uingereza ARSENAL hawajarudi nyuma katika mpango wao wa kumsajili nahodha wa kikosi cha Newcastle United, Bruno Guimaraes.