Arsenal's Preparation for Upcoming Season Against Real Betis
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Arsenal's Preparation for Upcoming Season Against Real… · imesasishwa 5 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- Jumatano ya leo, bingwa mtetezi wa ligi kuu ya Uingereza, Arsenal atakipiga dhidi ya Real Betis kutoka kule Hispania ambayo ni timu ya daraja la kati.
- Huku Betis wao wanahitaji kujaribu wachezaji wapya na kujiweka imara tayari kwaajili ya msimu mpya huku nafasi ya kuondoka na ushindi pale Meridianbet wakiwapewa Arsenal kutokana na ubora wa wachezaji ambao wanao.