THE Inspector General of Police (IGP) Camilius Wambura has appointed Assistant Commissioner of Police (ACP) Twaha Lulengelule as the new Tabora Regional Police Commander (RPC).
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura, amemhamisha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Twaha Juma Lulengelule na kumteua kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Tabora.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura, amemhamisha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Twaha Juma Lulengelule ambaye alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (RCO) Mkoa wa Tabora kuwa Kamanda wa Polisi (RPC) Mkoa wa Tabora.