600 Prisoners at Ukonga to Receive Non-Communicable Disease Screening
Habari mpya za afya Tanzania · maelezo ya 600 Prisoners at Ukonga to Receive Non-Communicable Dis… · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari za afya · hospitali · afya ya umma
Muhtasari
- DAR ES SALAAM; WAFUNGWA 600 wa Gereza la Ukonga, Dar es Salaam, wanatarajiwa kupatiwa huduma za uchunguzi wa magonjwa yasiyoambukiza, ikiwamo moyo, katika kambi maalumu ya afya iliyoandaliwa na Taasisi ya Moyo Jakaya.