Bw. Masanja ni miongoni mwa wakulima 57 waliowezeshwa na NBC kupitia mpango wa mikopo ya uboreshaji wa makazi kwa wakulima.
Alongside the truck financing, NBC handed over a home improvement loan to Mr. Emmanuel Nyambi Masanja, a farmer and member of Kasandalala AMCOS in Ushetu, Kahama District. He is among 57 farmers who have benefited from NBC’s home improvement loan programme.
NBC pia imeendelea kuwawezesha wakulima kupitia mikopo ya uboreshaji wa makazi.
Bw. Masanja ni miongoni mwa wakulima 57 waliowezeshwa na NBC kupitia mpango wa mikopo ya uboreshaji wa makazi kwa wakulima.