Chongolo amesema Shilingi bilioni 300 zitatolewa kupitia benki mbalimbali kwa ajili ya kuwawezesha vijana na wanawake wanaojihusisha na kilimo kupata mikopo.