Mocase amesema kuwa katika kipindi hicho jumla ya wanafunzi 573 wa Shule za Msingi na Sekondari hawakuripoti Shuleni ambapo kati yao 114 wamerudishwa Shule.
Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwarejesha shuleni wanafunzi 114 kati ya wanafunzi 573 waliokuwa hawajaripoti shule licha ya kutakiwa kuanza masomo, kufuatia operesheni maalumu iliyofanyika mwezi uliopita.