Install nukta
Get the app experience on your phone.
nuktaai
SWEN
nuktaai
SWEN

Gundua

🌍 Gundua 📅 Matukio ⚽ Michezo ✈️ Travel & Experiences 📊 Uchumi na Fedha 🌾 Bidhaa (Commodities) 💱 Fedha (Currencies) 👥 Market Tycoons 📂 Machapisho 📖 Kamusi / Tafsiri 🔬 Sayansi na Teknolojia 💼 Biashara 🎬 Burudani ℹ️ About

Habari Mpya

Kuhusu Msaada Privacy Terms
Social media
Instagram · Reel Saa 9 zilizopita

WAKATI dunia ikihesabu saa kuanza kwa Kombe la Dunia 2026, moja ya maeneo maarufu ya burudani jijini Dar es Salaam, KWG, imekamilisha maandalizi makubwa ya kuw…

Clouds FM TZ

Transcript

unasikia hizo kelele huko? Shamla shamla za kombe la dunia ndio zimekaribia. Uko tayari? Mimi? Mimi nipo tayari. Yes, kama unavyoona, timu yetu ya jikoni yenyewe pia ipo tayari. Tunawafanyia mambo ya madikodiko ya kutosha yaani alafu tuchekeshe. Yaani tumejiandaa, tuko vizuri. Sijiulize kuhusu timu ya baa. Yaani baa wamejipanga vizuri sana kukuletea vinywaji vya aina mbalimbali vya kukufanya wewe usindikize mechi zako unazozipenda vizuri kabisa. Alright, alright. Mambo kama hayo au sio? Tumejipanga vizuri kuhakikisha kwamba kila ukija hapa KWG, unapata burudani, unapata vinywaji, unapata misosi and everything is ready for you. Mm. Yes. Hajiulizi kwamba burudani imekaa vipi. We are the kings of burudani. Yaani ndio maana burudani kingdom. Show what. Na A-class DJs, tuna timu ya ma-DJs wa kutosha kwenye KWG. Yaani Calito's Way, samaki, kokoku na Wavuvi camp. Yes. Tunauliza kwamba utaangalia vipi mpira? We have big screens kama hiyo hapa. We have more than 100 screens kwa ajili ya wewe umwangalie mpira kwenye branch zetu zote. Yaani Mlimani, Masaki pamoja na Coco Beach. Namaanisha Samaki Samaki iko Mlimani, iko Masaki. Kokoku iko Mlimani, ipo Mikocheni. Lakini pia kuna Wavuvi camp ambayo ipo hapa Coco Beach. So, we are ready for you. Na are you ready? Yes. This is what we mean when we say our team is ready. Yaani tuko tayari kukuhudumia. Tuko tayari kukuburudisha. Hatuko tayari kukuonyesha mechi zote za World Cup 2026. Welcome to Calito's Way Group. Walla.

[On-screen text]

CALITO'S WAY GROUP

Uko Tayari?

Wenzako wamejiandaa

Wewe Je?

KWG

JIKO

READY FOR WORLD CUP

BAA

READY FOR WORLD CUP

BURUDANI

READY FOR WORLD CUP

KWG

BURUDANI

WE ARE THE KINGS

DJ'S

WAHUDUMU

MPIRA

BIG SCREENS

KWG Branches

Mlimani, Masaki & Coco Beach

Wavuvi Camp

Coco Beach

ARE YOU READY?

OUR TEAM IS READY!

Welcome to CALITO'S WAY GROUP

THIS IS THE WORLD CUP

PUT YOUR FLAGS UP IN THE AIR

PUT YOUR HANDS UP IN THE AIR

PUT YOUR FLAGS UP

Caption

WAKATI dunia ikihesabu saa kuanza kwa Kombe la Dunia 2026, moja ya maeneo maarufu ya burudani jijini Dar es Salaam, KWG, imekamilisha maandalizi makubwa ya kuwapokea mashabiki wa soka wanaotarajia kushuhudia michuano hiyo mikubwa zaidi duniani katika mazingira ya kipekee.

Kuanzia vyakula, vinywaji, burudani hadi miundombinu ya kuoneshea mechi, kila kitu kimewekwa sawa ili kuhakikisha mashabiki wanapata uzoefu wa kiwango cha juu katika kipindi chote cha mashindano yatakayovuta mamilioni ya watazamaji duniani kote. @samaki_samaki @kukukuku_tz @wavuvi_kempu

Original post

View on Instagram