Zuchu iMbeju Masterclass
When:
Where: Makao Makuu ya Benki ya CRDB, Upanga, Dar es Salaam
Source: crdb-bank-foundation
Inakuja kukupa maarifa ya vitendo kuhusu muziki, dancing, digital, branding, production na biashara.
Kutana na Zuchu (@officialzuchu), wasanii, producers, managers na wataalamu wa sekta ya muziki na sanaa, ujifunze nini kinahitajika ili kujenga safari ya kweli kwenye sanaa.
JIFUNZE, UKUE NA UTIMIZE NDOTO YAKO
ADA YA USAJILI
Tsh 500,000 tu.
JINSI YA KUJISAJILI
• Matawi yote ya Benki ya CRDB — muulizie Afisa wa iMbeju na ujisajili.
• Online: www.crdbbankfoundation.co.tz
RATIBA
Tarehe 21 June hadi 25 June 2026, kuanzia saa 4 asubuhi kila siku.
MAHALI
Makao Makuu ya Benki ya CRDB, Upanga, Dar es Salaam.
Mshirika: CRDB Bank Foundation · iMbeju

Sources