← Matukio

TANZANIA BUSINESS FORUM SEASON 4

TANZANIA BUSINESS FORUM SEASON 4

Muda:

Mahali: JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVECTION CENTRE (JNICC), DAR ES SALAAM, Tanzania

Mratibu: TANZANIA BUSINESS FORUM

Mawasiliano: 255674502925

TANZANIA BUSINESS FORUM SEASON 4

Je, uko tayari kuwa sehemu ya event inayochochea ukuaji wa biashara na uchumi wa kidijitali nchini? Hii ni nafasi ya kukutana na viongozi wa biashara, wawekezaji, na wadau muhimu wa maendeleo ya uchumi.

🎯 Theme:

Creating a Competitive Economy With Digital Inclusion

Katika forum hii utapata nafasi ya:

✔ Kukutana na Entrepreneurs na Investors

✔ Kujifunza kutoka kwa Business Owners na viongozi wa sekta mbalimbali

✔ Kujenga mtandao wa biashara na Companies, NGO’s pamoja na Government Officials

✔ Kubadilishana mawazo kuhusu nafasi ya teknolojia katika kukuza uchumi

Organizer: TANZANIA BUSINESS FORUM

Category: Conference

Contact: 255674502925

Tickets from TZS 75,000

Tiketi

  • REGULAR TZS 100,000
  • VIP TZS 150,000
  • COOPERATE PACKAGE TZS 75,000
tukiio tickets event tanzania-business-forum in-person conference