NORTHERN ZONE AWARDS 2026
Muda:
Mahali: Tanzania
Mratibu: SKYFREE INTERNATIONAL
Mawasiliano: skyfreeinternational@gmail.com 255744460460
Northern Zone Awards ni jukwaa jipya la tuzo zitakazofanyika kila mwaka kutambua na kuthamini mchango wa wajasiliamali, wafanyabiashara na watoa huduma bora wa kanda ya kaskazini, mikoa ya Arusha, Tanga, Kilimanjaro na Manyara. Tuzo hizi zinalenga kutangaza biashara, kuthamini na kutambua huduma mbalimbali. Tukio hili litafanyika Arusha na kuwakutanisha (Networking) wajasiliamali na wafanyabiashara mbalimbali wa kanda ya kaskazini.
Organizer: SKYFREE INTERNATIONAL
Category: Entertainment
Online voting on Tukiio (2026-06-01 00:00:00 – 2026-07-07 23:55:00)
Contact: skyfreeinternational@gmail.com · 255744460460
