Indexed topics
POLITICS Jun 29, 2026 4 excerpts ยท 4 articles ยท 3 outlets

Waziri Katambi's Ban on Political Gatherings for All Parties

Outlets: ippmedia.co.tz, mwananchi.co.tz, thechanzo.com

Supporting excerpts & sources

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) kutotoa vibali vya mikutano ya hadhara ya kisiasa kwa vyama vyovyote, ikiwemo Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vingine, kwa kipindi hiki.
ippmedia.co.tz โ†—
The government has announced a nationwide ban on all political rallies, directing police to withhold permits for public meetings by any political party.
thechanzo.com โ†—
Katambi amesema anashangazwa na wanaodai hana mamlaka ya kuzuia mikutano ya hadhara, akisisitiza hatua aliyoitangaza haihusiani na kutangazwa kwa hali ya hatari, ambayo kikatiba ni mamlaka ya Rais.
mwananchi.co.tz โ†—
tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ya kuzuia kwa muda, mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa nchini.
mwananchi.co.tz โ†—
Ask anything about this topic โ€” timeline, impact, actors, or Tanzania connections.