Potential Global Oil and Gas Supply Disruptions Due to Hormuz Tensions
Outlets: globalpublishers.co.tz, ippmedia.co.tz
Supporting excerpts & sources
Endapo hali itaendelea kuwa tete katika Mlango wa Hormuz, wachambuzi wanaonya kuwa usafirishaji wa mafuta na gesi duniani unaweza kuathirika, jambo litakaloongeza shinikizo kwa uchumi wa kimataifa.
globalpublishers.co.tz โMigogoro au mashambulizi kwenye eneo hili yanaweza kusababisha uhaba wa mafuta, kupanda kwa bei, na kuathiri biashara ya kimataifa.
ippmedia.co.tz โMvutano huo pia umeathiri usafirishaji wa nishati duniani baada ya angalau meli nne za mafuta na gesi kubadili njia na kuacha kuvuka Mlango wa Hormuz kutokana na hofu ya usalama.
globalpublishers.co.tz โ