Indexed topics
AGRICULTURE Jun 25, 2026 4 excerpts ยท 4 articles ยท 3 outlets

Implementation of Prime Minister's Directives by WRRB

Outlets: habarileo.co.tz, ippmedia.co.tz, mzalendo.co.tz

Supporting excerpts & sources

BODI ya Usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeanza rasmi utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, yenye lengo la kuimarisha usimamizi wa mfumo huo na kuhakikisha changamoto zinazojitokeza zinapatiwa ufumbuzi bila kurejea kwenye biashara holela ya mazao.
habarileo.co.tz โ†—
Bodi ya Usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeanza rasmi utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ya kuimarisha usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala na kuhakikisha changamoto zinazojitokeza katika utekelezaji wake zinatatuliwa bila kurudi kwenye biashara holela ya mazao.
mzalendo.co.tz โ†—
WRRB YAANZA KUTEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU
mzalendo.co.tz โ†—
Bodi ya Usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeanza rasmi kutekeleza maagizo ya Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, yanayolenga kuimarisha usimamizi wa mfumo huo na kuhakikisha changamoto zilizopo zinatatuliwa bila kurejea kwenye biashara holela ya mazao.
ippmedia.co.tz โ†—
Ask anything about this topic โ€” timeline, impact, actors, or Tanzania connections.