I
iMbeJu Ndondo Cup
@ndondo_cup
Instagram · Photo
LEO TUTACHEZESHWA KAMA MATEKA NA K ZUNGU.
📝
Caption
LEO TUTACHEZESHWA KAMA MATEKA NA K ZUNGU.
Moja kati ya wasanii wenye talent kubwa kwenye muziki ni @kzungu_official na leo amepewa jukumu la kuburudisha kwenye uzinduzi wa #imbejundondocup2026 #jiongeze