Gundua

1156 habari
Nukta Publish

Habari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta

Unaona habari zinazohusishwa na Nukta chini (pamoja na mengine ya Gundua).

Teknolojia AI

Hadi kufikia Januari, 2024 ikiwa ni mwezi mmoja tangu kuzinduliwa kwa model mpya Deep Seek AI imepakuliwa na watumiaji zaidi ya milioni 10 katika App store.

Nukta
246 Areas Identified for Urgent Reform in Tanzania's Blueprint II · 246 Suspected Ebola Cases and 80 Reported Deaths in DRC Ebola

Ni pamoja na kuimarisha ufuatiliaji wa tetesi katika jamii na uchunguzi wa afya kwa wasafiri wanaoingia nchini kupitia mipaka, bandari na viwanja vya ndege.

Nukta
Afya na Huduma za Jamii Hanta virus

Taarifa hiyo ya WHO ilithibitisha watu sita kutoka katika meli hiyo kuambukizwa ugonjwa huo huku watatu tayari wakiripotiwa kupoteza maisha.

Nukta
Magari na Vyombo vya Moto Fuel Prices

Suzuki Swift inaweza kutumia lita moja ya mafuta kwa wastani wa kilomita 18 hadi 23.

Nukta
News Bajeti ya Serikali Tanzania yapaa h…

Serikali ya Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuongeza nguvu katika ukusanyaji wa mapato ya ndani, hasa kutokana na matarajio ya kupungua kwa misaada kutoka nje.

Nukta
Habari Tanesco yazindua kituo cha kuchajia…

Ni baada ya Serikali kupendekeza punguzo la kodi kwenye bidhaa na vifaa vinavyohusiana na nishati hizo.

Nukta
Teknolojia Nchimbi mgeni rasmi siku ya mazingi…

Serikali ya Tanzania imesema inaendelea kuimarisha mifumo ya teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) ili kutoa fursa kwa vijana kunufaika na uchumi wa kidigitali.

Nukta
Ripoti Maalum Suala jumuishi kwa watu wenye ulema…

Dar es Salaam. Joel Amiri alishangazwa na mabadiliko ya ghafla ya tabia za watu waliomzunguka mwanzoni mwa mwaka 2020 akiwa nyumbani kwao mkoani Tabora. Alianza kuona majirani zake na wanafamilia wakiwa wamevaa barakoa na kila alipojaribu kuwasogelea karibu, walimuonesha ishara ya kumtaka akae mbali nao. Wakati yeye a…

Nukta
News Benki ya Exim Tanzania yaendesha zo…

Ni pamoja na kuboresha sekta ya elimu, afya, kutoa nafasi za ajira na kuanza kwa mchakato wa Katiba mpya.

Nukta
Biashara NMB yaingia katika awamu mpya ya uk…

Hii ina maanisha kuwa hisa moja ya NMB ya sasa itakuwa ni sawa na hisa 10 huku bei ya hisa moja ikipungua kwa uwiano huo huo.

Nukta
News Rais wa Namibia kuwasili Tanzania z…

Rais wa Msumbiji, ameanza ziara ya kikazi leo nchi Tanzania inayokusudia kudumisha uhusiano wa kihistoria, kindugu na kiuchumi kati ya nchi hizo mbili.

Nukta
News Rais samia amuapisha jingu,asisitiz…

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kuchukua nafasi ya Prof Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu baada ya kuhudumia mhimili huo wa dola kwa miaka minane. Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu…

Nukta
Biashara Mikopo ya mifugo NMB yavuka Sh180 b…

Gawio la faida la NMB kwa hisa limeongezeka kwa asilimia 217.8% ndani ya miaka mitano tangu lilipokuwa Sh193 mwaka 2021.

Nukta
Habari na Mawasiliano Tanzania Digital Economy

High speed and reliable internet is needed in every aspect of human life from education, family growth, governance to business.

Nukta
Shughuli za Fedha na Bima Forex and Dollar Rates

Dola ya Marekani imeendelea kubaki katika viwango vilevile vya kununuliwa kwa Sh2,570 na kuuzwa kwa Sh2,650 katika benki zote mbili.

Nukta
Makala kuhusu matukio yaliyopita

Habari nyingine

TRA yavuka lengo ikikusanya Sh37.96 trilioni 2025/26
Biashara

TRA yavuka lengo ikikusanya Sh37.96 trilioni 2025/26

Nukta· Jana
Juu zaidi: BoT yapandisha riba ya benki kuu hadi 6.25%
Biashara

Juu zaidi: BoT yapandisha riba ya benki kuu hadi 6.25%

Nukta· Siku 2 zilizopita
Marekani, Tanzania zasaini makubaliano afya ya $3.1 bilioni
Afya & Maisha

Marekani, Tanzania zasaini makubaliano afya ya $3.1 bilioni

Nukta· Siku 3 zilizopita
Si kweli : Serikali imeongeza likizo ya wanafunzi kwa siku 7
Debunking stories

Si kweli : Serikali imeongeza likizo ya wanafunzi kwa siku 7

Nukta Fakti yabaini dosari katika barua ikiwemo muundo wa kiutawala, jina na sahihi ya kiongozi mwenye thamana pamoja na ukakasi kwenye sababu za kuongezwa kwa

Nukta· Siku 4 zilizopita
Dola yapanda kidogo Julai, Euro na Pauni zashuka kulinganisha na Juni
Currencies

Dola yapanda kidogo Julai, Euro na Pauni zashuka kulinganisha na Juni

Nukta· Siku 4 zilizopita
Ahueni bei ya petroli, dizeli mafuta ya taa ikishuka
Biashara

Ahueni bei ya petroli, dizeli mafuta ya taa ikishuka

Nukta· Siku 4 zilizopita
Mambo ya kuzingatia kabla ya kuchukua mkopo 
Biashara

Mambo ya kuzingatia kabla ya kuchukua mkopo 

Nukta· Siku 5 zilizopita
Gawio la Serikali lapaa kwa asilimia 30 lafikia Sh1.327 trilioni
News

Gawio la Serikali lapaa kwa asilimia 30 lafikia Sh1.327 trilioni

Nukta· Siku 5 zilizopita
Sarafu 5 zenye nguvu zaidi duniani
Biashara

Sarafu 5 zenye nguvu zaidi duniani

Nukta· Siku 6 zilizopita
Matumizi ya Dola miamala ya ndani yanavyoweza kuathiri uchumi wa Tanzania
Biashara

Matumizi ya Dola miamala ya ndani yanavyoweza kuathiri uchumi wa Tanzania

Nukta· 27 Jun 2026
Serikali yasitisha tena mikutano ya siasa Tanzania
News

Serikali yasitisha tena mikutano ya siasa Tanzania

Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi asema lengo la uamuzi huo ni kuimarisha ulinzi na usalama wa nchi

Nukta· 26 Jun 2026
Pauni na Euro zaendelea kuimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania
Currencies

Pauni na Euro zaendelea kuimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania

Nukta· 26 Jun 2026
POLITICS Jun 25, 2026 7 7 4

Keir Starmer's Resignation as UK Prime Minister

Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na uongozi wa chama tawala cha Labour.

Maelezo ya Ziada
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na uongozi wa chama tawala cha Labour.
swahilitimes.co.tz ↗
Starmer confirmed that he would step aside and oversee a smooth transfer of power, telling the country that Britain needed fresh leadership to restore stability at a moment of rising political strain inside the Labour Party.
dailynews.co.tz ↗
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametangaza kujiuzulu wadhifa wake na uongozi wa Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz ↗
Kuwasili kwa mwanasiasa huyo mahiri, ambaye hadi wiki iliyopita alikuwa Meya wa Greater Manchester, kunajiri saa chache baada ya Keir Starmer kutangaza kujiuzulu rasmi wadhifa wa Waziri Mkuu kutokana na shinikizo kubwa la kisiasa ndani ya Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz ↗
Kujiuzulu kwa Starmer kunahitimisha safari ya kisiasa iliyokuwa imeanza kwa matumaini makubwa baada ya ushindi wa kihistoria wa Labour katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.
mwananchi.co.tz ↗
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu wadhifa huo, akisema anaheshimu mawazo ya chama chake cha Labour, baada ya mpinzani wake kuibuka kidedea Ijumaa iliyopita.
ippmedia.co.tz ↗
Starmer anang’oka uwaziri mkuu, zinawadia zama mpya za siasa UK
mwananchi.co.tz ↗
Wizara tano zilizoidhinishiwa fedha nyingi 2026/27
News

Wizara tano zilizoidhinishiwa fedha nyingi 2026/27

Nukta· 25 Jun 2026
Shilingi ya Tanzania yaendelea kuimarika dhidi ya Euro
Currencies

Shilingi ya Tanzania yaendelea kuimarika dhidi ya Euro

Nukta· 25 Jun 2026
Euro yaendelea kushuka dhidi ya Shilingi ya Tanzania
Currencies

Euro yaendelea kushuka dhidi ya Shilingi ya Tanzania

Nukta· 24 Jun 2026
Akili unde: suluhisho jipya mapambano dhidi ya ebola, uviko 19
Afya & Maisha

Akili unde: suluhisho jipya mapambano dhidi ya ebola, uviko 19

Nukta· 23 Jun 2026
Bunge lapitisha bajeti ya Serikali 2026/27 kwa asilimia 97.66
News

Bunge lapitisha bajeti ya Serikali 2026/27 kwa asilimia 97.66

Bunge la Tanzania limepitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 kwa asilimia 97.66 baada ya wabunge 385 kupiga kura ya ndio kuunga mkono bajet

Nukta· 23 Jun 2026
Euro yaendelea kushuka, Dola yabaki tulivu Juni 23
Currencies

Euro yaendelea kushuka, Dola yabaki tulivu Juni 23

Nukta· 23 Jun 2026
Rupia ya India, Shilingi ya kenya yaimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania Juni 22
Currencies

Rupia ya India, Shilingi ya kenya yaimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania Juni 22

Nukta· 22 Jun 2026
Tanzania iko tayari kwa uchumi unaotegemea teknolojia? 
Teknolojia

Tanzania iko tayari kwa uchumi unaotegemea teknolojia? 

Nukta· 20 Jun 2026
ECONOMY Apr 01, 2026 12 8 7

Tanzania's Vision 2050: Transforming Economy to 1 Trillion USD

Vision 2050, which seeks to transform the country into a high-income, industrialled economy valued at 1 trillion US dollars.

Maelezo ya Ziada
Vision 2050, which seeks to transform the country into a high-income, industrialled economy valued at 1 trillion US dollars.
dailynews.co.tz ↗
Utekelezaji wa DIRA 2050, unaokadiriwa kugharimu takribani dola za Marekani trilioni 1, utategemea kwa kiasi kikubwa uwekezaji wa sekta binafsi unaotarajiwa kuchangia zaidi ya asilimia 70 ya gharama za utekelezaji.
mzalendo.co.tz ↗
Tanzania is strengthening its engagement with the African Trade and Investment Development Insurance (ATIDI) to support private sector-led growth, as the country targets a 70% private sector contribution to the economy under its Development Vision 2050.
tanzaniainvest.com ↗
Her message comes at a critical time for Tanzania, whose population is projected to grow from about 67 million today to over 120 million by 2050.
thecitizen.co.tz ↗
The Tanzanian government has stated that the recommendations contained in the Economic Freedom Audit Report will drive policy reforms, strengthen economic freedom, and significantly contribute to Tanzania’s journey towards a strong and competitive economy by 2050.
dailynews.co.tz ↗
Best goal: 'Generate TZS 70 million in revenue, with 8 new clients in Q1–Q2 via content marketing.'
tanzlite.com ↗
Lead generation: 90 qualified inquiries per year.
mwananchi.co.tz ↗
Retention: 70% repeat business.
bongo5.com ↗
Target ARPU of TZS 5 million.
CAC under TZS 300k.
Dk Mwigulu amewataka wakuu wa mikoa kusimamia kikamilifu maandalizi na mapokezi ya wanafunzi wa elimu msingi ya lazima ya miaka 10, watakaojiunga na kidato cha kwanza mwaka 2028 kwa kukamilisha miundombinu na huduma zote muhimu.
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba ameyabainisha hayo leo Bungeni Dodoma wakati akiwasilisha hotuba ya mapito na mwelekeo wa kazi za Serikali, Makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2026/27 ambapo amesema kuwa utekelezaji wa Dira 2050 unakusudia kuifanya Tanzania kuwa na uchumi wa thamani ya dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050, huku wastani wa pato la mtu mmoja mmoja ukitarajiwa kufikia dola 7,000 kwa mwaka.
ECONOMY Apr 01, 2026 19 10 7

Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

Maelezo ya Ziada
In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.
thechanzo.com ↗
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.
mwananchi.co.tz ↗
Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.
thecitizen.co.tz ↗
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.
globalpublishers.co.tz ↗
Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.
mwananchi.co.tz ↗
The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.
dailynews.co.tz ↗
Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani
globalpublishers.co.tz ↗
Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.
mzalendo.co.tz ↗
Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.
mzalendo.co.tz ↗
Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.
bongo5.com ↗
Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.
Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”
Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.
The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.
Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.
Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.
TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI
Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8​ kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.
NATIONAL Mar 28, 2026 28 15 7

William Lukuvi's Death Announced by President Samia Suluhu Hassan on March 25, 2026

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

Maelezo ya Ziada
Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.
mwananchi.co.tz ↗
William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo
dailynews.co.tz ↗
PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.
habarileo.co.tz ↗
Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.
mwananchi.co.tz ↗
Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.
thecitizen.co.tz ↗
Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.
dailynews.co.tz ↗
Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.
habarileo.co.tz ↗
Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.
habarileo.co.tz ↗
Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.
globalpublishers.co.tz ↗
According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.
globalpublishers.co.tz ↗
Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.
mzalendo.co.tz ↗
Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.
swahilitimes.co.tz ↗
Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.
mwananchi.co.tz ↗
All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.
Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.
WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.
Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.
Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.
William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.
Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.
PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.
President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.
DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.