
Gundua
500 habariHabari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta
Unaona habari zinazohusishwa na Nipashe chini (pamoja na mengine ya Gundua).

Uchumi
Bajeti ya Serikali Tanzania yapaa h…

Nishati na Umeme
Tanesco yazindua kituo cha kuchajia…
WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema kuwa kutokana na changamoto ya kupanda kwa bei za mafuta katika soko la dunia, serikali inapaswa kuanza kuweka mkakati wa kununua magari yanayotumia nishati ya umeme ili kupunguza utegemezi wa mafuta. Ndejembi amesema hayo leo jijin…

Michezo
Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: HAI…
Imekuwa ni utamaduni wa kawaida kwa wadau mbalimbali wa michezo kupanga ratiba yake mapema ya wapi atakapokwenda kuangalia mechi hasa kipindi hiki cha mashindano makubwa ya Kombe la Dunia inayoanza leo. Kuna ambao wanasema wanapenda kuangalizia nyumbani kwakuwa mechi nyingi zitao…

Mashirika Yasiyo ya Kiserikali na Kidini
Nchimbi mgeni rasmi siku ya mazingi…
Washiriki zaidi ya 3,000 wanatarajiwa kushiriki Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali 2026 litakalofanyika Oktoba 20 hadi 22 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, likiwa na lengo la kujadili mustakabali wa sekta hiyo na kuimarisha mchango wake kat…

Siasa
Ccm yadai kuna mipango ya maandaman…
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amewataka wananchi wa Kilolo mkoani Iringa kulinda amani ya nchi na kuwapuuza wanasiasa wanaochochea vurugu. Amesema amani ni msingi wa maendeleo, akibainisha kuwa endapo itatoweka wananchi …

fishing
Waziri mchengerwa afungua mafunzo k…
Tanzania ina fursa za kuinua wananchi kiuchumi lakini mambo hayaendi. Upo ugonjwa unaotafuna juhudi hizo ni kukosa uaminifu, uadilifu na weledi kwa wale wanaopewa ruzuku, mikopo au mitaji ya kuanzisha miradi midogo na mikubwa. “Watanzania tukumbuke kuwa mtaji mkuu kuliko mingine …
Haki za Binadamu
Suala jumuishi kwa watu wenye ulema…
Serikali ya Tanzania imesema imepiga hatua kubwa katika kuimarisha ustawi na ujumuishwaji wa watu wenye ulemavu, huku ikisisitiza umuhimu wa kuongeza upatikanaji wa vifaa na teknolojia saidizi ili kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii na kiuchumi. Akihitimis…

Afya na Huduma za Jamii
Benki ya Exim Tanzania yaendesha zo…
Takwimu za kitaifa za mahitaji ya damu salama kwa mwaka wa fedha 2024/25 zimeonesha kuwa Tanzania imekumbwa na upungufu wa asilimia 29 ya damu inayohitajika, kutokana na kutofikiwa kwa lengo la makusanyo ya damu nchini. Akizungumza na Nipashe Digital Juni 12, 2026 jijini Dar es S…

Nishati na Umeme
Jeshi la magereza lashiriki maadhim…
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),Lazaro Twange, amewaondoa hofu wananchi kuhusu matumizi ya nishati ya umeme katika vyombo vya usafiri, akisema kuwa TANESCO imejipanga kujenga vituo vya kuchajia vyombo hivyo nchi nzima. Mkurugenzi huyo amesema hayo Juni…

Shughuli za Fedha na Bima
NMB yaingia katika awamu mpya ya uk…
Benki ya NMB imetangaza kuingia katika awamu mpya ya ukuaji baada ya kukamilisha mpango wake wa muda wa kati wa mwaka 2021 hadi 2025, uliowezesha taasisi hiyo kufikia rekodi ya faida kabla ya kodi ya zaidi ya Sh.trilioni moja. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam wakati …

Nipashe
TANESCO yakamilisha miradi ya kuima…
Wananchi wa Wilaya za Gairo, Mpwapwa, Kongwa, Chamwino na Kiteto wanatarajiwa kunufaika na huduma ya umeme wa uhakika zaidi kufuatia kukamilika kwa miradi ya kuimarisha mfumo wa usambazaji wa umeme iliyotekelezwa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa gharama ya zaidi ya Shil…

Nipashe
TAKUKURU Yawafikisha Mahakamani Wat…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Geita imewafikisha mahakamani watumishi saba wa umma kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za umma zinazokadiriwa kufikia zaidi ya Sh. milioni 89. Kati ya hao watatu wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita wanadaiwa kufanya ubadh…

Shughuli za Fedha na Bima
Kunenge Aitaka Halmashauri Chalinze…
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amesema endapo halmashauri zitajiimarisha katika ukusanyaji wa mapato, zitasaidia kwa kiasi kikubwa Serikali kupunguza utegemezi wa mikopo katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Amesema ili kufanikisha hilo, halmashauri zinapaswa kujik…

Utawala wa Umma na Ulinzi
Mshikamano kitaifa wapewa kipaumbel…
Serikali imesema itaendelea kuthamini na kushirikiana na taasisi za kidini kutokana na mchango wake mkubwa katika kuimarisha amani, mshikamano na maendeleo ya taifa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, amesema hayo jijini Mwanza akimwakilis…

Nipashe
Samia: Tanzania ni kituo muhimu cha…
Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Jamhuri ya Korea, Noel Kaganda, amefanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Kamati ya Maandalizi ya Maonesho ya Kimataifa ya Visiwa ya Yeosu, Jong Ki Kim, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili. Mazungumzo…

Nipashe
Mikopo ya Asilimia 10 Yaendelea Kug…
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge ametoa maelekezo kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kubuni vyanzo vipya vya mapato ili waendelee kuleta maendeleo kwenye maisha ya wananchi. Kunenge ametoa maelekezo hayo jana alipokuwa anazungunza kwenye kikao cha Baraza Maalumu la Madiwan…

Nipashe
Rais wa Namibia kuwasili Tanzania z…
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Dk. Netumbo Nandi-Ndaitwah, anatarajiwa kuwasili nchini Juni 19, 2026 kwa ziara ya kitaifa. Ziara hiyo, ambayo ni ya pili kuifanya nchini Tanzania tangu aingie madarakani, inaendelea kudhihirisha uhusiano wa kindugu na wa kihistoria kati ya Tanzania na…

Kilimo, Misitu na Uvuvi
Wrrb yafungua ukurasa mpya kwa wafu…
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imesema matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala katika sekta ya mifugo yataimarisha masoko, kuongeza ushindani wa bei na kuwainua wafugaji kiuchumi kupitia upatikanaji wa huduma za kifedha. Akizungumza Juni 19, 2026, katika Maonesh…

Nipashe
Jamii iwe makini na ushauri kisaiko…
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Ayoub Kibao, amewataka washiriki wa mafunzo ya ukusanyaji, uhifadhi na usimamizi wa taarifa za watu wenye ulemavu kutekeleza jukumu hilo kwa weledi na umakini ili kuiwezesha Serikali kupanga na kutekeleza kwa ufanisi huduma zinazo…

Matukio
Kamanda wa Polisi Tabora SACP Richa…
Mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, SACP Richard Abwao, umeagwa rasmi leo nyumbani kwake eneo la Mji Mwema, Kata ya Tungi katika Manispaa ya Morogoro kabla ya kusafirishwa kuelekea mkoani Tabora kwa shughuli za kuagwa rasmi kesho Juni 23, siku ambayo pia ni tareh…

Maji, Usafi na Udhibiti wa Taka
Tanzania, Ujerumani wasaini mkataba…
Serikali imesaini mkataba wa msaada wa Euro milioni 20 (sawa na shilingi bilioni 60.7) kutoka Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW), kwa ajili ya kufadhili mradi wa uboreshaji wa huduma za maji safi na usafi wa mazingira kati…

Shughuli za Fedha na Bima
Tra yakusanya trilioni 32.3 baada y…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Pwani imesema matumizi ya mifumo ya kidijitali yameongeza uwazi na uwajibikaji katika ukusanyaji wa kodi, hatua iliyochangia kuongezeka kwa idadi ya wafanyabiashara wanaolipa kodi kwa hiari na kukuza mapato ya Serikali. Akizungumza Juni 23…

Afya na Huduma za Jamii
Rais samia azindua kituo cha tiba y…
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amewahimiza wanaume nchini kuondoa hofu ya kupima saratani ya tezi dume, akisisitiza kuwa ugonjwa huo unaweza kutibika iwapo utagundulika mapema na mgonjwa kuanza matibabu kwa wakati. Rais Samia ametoa wito huo leo, Juni 24, 2026, wakati wa uzinduzi …

Usafiri na Uhifadhi
Mkurugenzi Mkuu TASAC: MV Liemba Ku…
Mabaharia nchini wanatarajia kukutana mkoani Kigoma katika maadhimisho ya kimataifa yatakayolenga kutafakari utendaji na mchango wao katika sekta ya usafiri na usafirishaji, huku yakisisitiza kuchochea uchumi wa kijani kwa maendeleo ya taifa. Akizungumza na waandishi wa habari Ju…

Biashara ya Jumla na Rejareja
Algerian firms seek partners for tr…
KAMPUNI za Algeria zinazojishughulisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za viwandani na kilimo zinatafuta wabia wa kufanya nazo biashara ya mazao na uwekezaji katika sekta ya viwanda nchini Tanzania. Kampuni hizo zilizovutiwa kushirikiana na Tanzania zinashiriki katika…

Kilimo, Misitu na Uvuvi
WRRB yatekelezaji maagizo ya Waziri…
Bodi ya Usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeanza rasmi kutekeleza maagizo ya Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, yanayolenga kuimarisha usimamizi wa mfumo huo na kuhakikisha changamoto zilizopo zinatatuliwa bila kurejea kwenye biashara holela ya mazao. Akitoa taarif…

Afya na Huduma za Jamii
Bmh yaandika historia kwa upandikiz…
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa (BMH) imeendelea kuandika historia katika sekta ya afya nchini baada ya kufanikisha huduma ya upandikizaji wa uume kwa wanaume 14, hatua inayoiweka kuwa miongoni mwa hospitali za kwanza nchini kutoa huduma hiyo kwa mafanikio. Akizungu…

Michezo
Ufaransa vs Iraq Kombe la Dunia 202…
Hali mbaya ya hewa iliyoambatana na mvua kubwa ililazimisha mechi kati ya Ufaransa na Iraq iliyopigwa usiku wa kuamkia leo kusitishwa kwa muda wakati wa mapumziko kutokana na hofu ya kutokea kwa dhoruba na radi. Licha ya yote hayo, mashabiki wa Iraq walionyesha matumaini wakiamin…

Biashara ya Jumla na Rejareja
Mbio za miaka 30 ya tra: eliona asi…
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameipongeza Jumuiya ya Wafanyabiashara mkoani humo kwa kuendelea kutekeleza wajibu wao wa kulipa kodi, akisema hatua hiyo imechangia kuongezeka kwa mapato ya serikali na kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Amesema kaulimbiu ya maad…

Mazingira na Hali ya Hewa
Serikali yafafanua upotoshaji kuhus…
Serikali imesema haijauza wala haijakabidhi rasilimali za misitu au maliasili za Tanzania kwa mataifa ya nje kupitia makubaliano ya biashara ya kaboni, ikisisitiza kuwa hatua zinazoendelea zinalenga kuongeza manufaa ya kiuchumi kwa taifa huku zikilinda maslahi ya wananchi. Akizu…

Vijana
Vijana Uchumi Challenge kupewa fursa
Vijana 100 waliofuzu katika shindano la Vijana Uchumi Challenge wameingia kambini katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoani Pwani, kwa ajili ya mchujo wa awamu ya pili utakaowachuja washiriki hadi kufikia vijana 10 watakaoshiriki fainali za shindano hilo. Katika k…

Biashara ya Jumla na Rejareja
Wizara ya fedha yawakaribisha wanan…
Ulinzi na usalama unatarajiwa kuimarishwa zaidi katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) mwaka huu ili kuhakikisha usalama wa wafanyabiashara, washiriki na wananchi watakaotembelea maonesho hayo. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema…

Kimataifa
Marekani, Iran sasa kujifungia Doha…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametangaza kusitishwa kwa vikwazo vya mafuta na kuondolewa kwa mzingiro wa majini. Aidha, Araghchi amesema baadhi ya mali za Iran zilizokuwa zimezuiwa nje ya nchi zimeachiwa, na kwamba mpango mkubwa wa Iran wa ujenzi upya wa uchumi …

Kilimo, Misitu na Uvuvi
Wafugaji wakoshwa na mpango wa stak…
Kampuni ya CRDB Insurance Company imezindua huduma ya Smart Mifugo, bima ya mifugo inayotumia teknolojia ya akili mnemba (AI) kuwakinga wafugaji dhidi ya hasara zinazotokana na vifo vya mifugo, magonjwa na athari za ukame. Huduma hiyo imezinduliwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifu…

Nishati na Umeme
Kamati ya bunge ya nishati na madin…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema imeridhishwa na maendeleo ya uzalishaji wa umeme katika Kituo cha Kufua Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), ambacho kwa sasa kinachangia takribani asilimia 45 ya umeme unaoingia katika Gridi ya Taifa. Akizungumza leo Juni 29, 2…

Shughuli za Fedha na Bima
Wabunge Waipongeza NSSF na PSSSF kw…
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) unashiriki Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere kuanzia Juni 28 hadi Julai 13, 2026, ukiwahakikishia wanachama na wananchi huduma mbalimb…

Elimu
Meridianbet Yageuza Msaada wa Taulo…
WANAFUNZI zaidi ya 5,000 wa shule za msingi na sekondari katika mikoa ya Dodoma, Manyara, Njombe, Tabora na Tanga, wanatajia kunufaika na mradi wa kupatiwa taulo za like zipatazo 40,000. Mpango huo unaotekelezwa kupitia mradi wa "Dignity Hamper – Keep a Girl in School", unalenga …

Utawala wa Umma na Ulinzi
Mkalama yapunguza hoja za CAG kutok…
Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama mkoani Singida imepunguza kwa kiwango kikubwa hoja za ukaguzi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kutoka hoja 61 mwaka wa fedha 2022/2023 hadi hoja tisa pekee katika mwaka wa fedha 2024/2025, hatua inayotajwa kuwa ni matokeo y…

Kimataifa
Miaka 50 ya sabasaba: rais samia ae…
Katika dunia ya sasa, mafanikio ya taifa hayapimwi tena kwa ukubwa wa rasilimali zake pekee, bali pia kwa uwezo wa viongozi wake kujenga mahusiano ya kimataifa yanayozalisha matokeo chanya kwa wananchi. Diplomasia imekuwa nyenzo muhimu ya kukuza uchumi, kuvutia uwekezaji, kuimari…

Sheria na Mahakama
Balozi omar: sabasaba ni fursa ya k…
Wizara ya Katiba na Sheria imewataka wananchi kutumia fursa ya Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) kutembelea banda la wizara hiyo ili kupata huduma ya msaada wa kisheria bila malipo. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Zainab K…

Nipashe
Mwili wa Dereva wa Heche Wasafirish…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kutangaza kifo cha Suez Dani aliyekuwa Dereva wa Makamu wa Mwenyekiti wa chama hicho bara, John Heche. Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma. …
Habari nyingine

Kilimo, Misitu na Uvuvi
Wakulima wa ufuta walipwa bilioni 21/- Pwani

Sheria na Mahakama
Dereva wa Mahakama atiwa hatiani kuomba rushwa ya Sh. 600,000

Kilimo, Misitu na Uvuvi
TMX yauza mazao na madini ya trilioni 6.2/-

Uchumi
Dk.Blandina aweka imani kwa PURA, utekelezaji malengo Dira 2050
Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Taifa ya Mipango - Biashara na Ubunifu, Dk. Blandina Kilama amesema anaitegemea Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA

Nishati na Umeme
PBPA yaimarisha usimamizi mafuta kwa SCADA

Afya na Huduma za Jamii
TAKUKURU yasaidia huduma Watoto Njiti Iringa

Afya na Huduma za Jamii
DCEA yatoa wito wanahabari kutoa elimu dawa za kulevya

Michezo
Yanga yapigwa faini ya mlioni 100/- Hersi, Ntine kikaangoni

Afya na Huduma za Jamii
Jaji Mkuu ashauri ukaguzi wa mifumo ya usalama, afya kazini

Sheria na Mahakama
Waziri: Tutatumia Sheria kushughulika na wanaotaka kuzivunja

Mazingira na Hali ya Hewa
Tanzania mwenyeji Mkutano wa COP12
Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12), utakaofanyika kuanzia tarehe 6 hadi 9 Oktoba 2026. Mkutano

Siasa
NLD yaunda Tume Maalum kutathmini Uchaguzi Mkuu 2025

Habari na Mawasiliano
Vodacom yaonyesha dhamira kulinda taarifa binafsi za wateja

Afya na Huduma za Jamii
Wizara Afya yatoa mafunzo utayari kukabiliana magonjwa ya mlipuko

Utawala wa Umma na Ulinzi
Pwani yaimarisha usimamizi miradi maendeleo

Afya na Huduma za Jamii
Dk. Kaguo: Si kila uvimbe ni saratani na wengi hupona

Maji, Usafi na Udhibiti wa Taka
Mwenge wasisitiza mradi maji Moshi

Uchumi
Malawi yaongoza nchi 10 zenye mafuta ghali zaidi Afrika; Tanzania haimo
Wakati Watanzania wakiendelea kushuhudia kushuka kwa bei ya mafuta hadi Sh3,990 kwa lita ya petroli, orodha ya nchi 10 zenye mafuta ghali zaidi Afrika imeonyesh

Uchumi
TPSF yaelezea faida ya Tozo Maendeleo ya Bandari sekta viwanda

Sheria na Mahakama
Wananchi wahimizwa kupata msaada wa kisheria
POLITICS
7
7
4
Keir Starmer's Resignation as UK Prime Minister
Maelezo ya Ziada
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na uongozi wa chama tawala cha Labour.
swahilitimes.co.tz ↗Starmer confirmed that he would step aside and oversee a smooth transfer of power, telling the country that Britain needed fresh leadership to restore stability at a moment of rising political strain inside the Labour Party.
dailynews.co.tz ↗Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametangaza kujiuzulu wadhifa wake na uongozi wa Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz ↗Kuwasili kwa mwanasiasa huyo mahiri, ambaye hadi wiki iliyopita alikuwa Meya wa Greater Manchester, kunajiri saa chache baada ya Keir Starmer kutangaza kujiuzulu rasmi wadhifa wa Waziri Mkuu kutokana na shinikizo kubwa la kisiasa ndani ya Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz ↗Kujiuzulu kwa Starmer kunahitimisha safari ya kisiasa iliyokuwa imeanza kwa matumaini makubwa baada ya ushindi wa kihistoria wa Labour katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.
mwananchi.co.tz ↗Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu wadhifa huo, akisema anaheshimu mawazo ya chama chake cha Labour, baada ya mpinzani wake kuibuka kidedea Ijumaa iliyopita.
ippmedia.co.tz ↗Starmer anang’oka uwaziri mkuu, zinawadia zama mpya za siasa UK
mwananchi.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Vision 2050, which seeks to transform the country into a high-income, industrialled economy valued at 1 trillion US dollars.
dailynews.co.tz ↗Utekelezaji wa DIRA 2050, unaokadiriwa kugharimu takribani dola za Marekani trilioni 1, utategemea kwa kiasi kikubwa uwekezaji wa sekta binafsi unaotarajiwa kuchangia zaidi ya asilimia 70 ya gharama za utekelezaji.
mzalendo.co.tz ↗Tanzania is strengthening its engagement with the African Trade and Investment Development Insurance (ATIDI) to support private sector-led growth, as the country targets a 70% private sector contribution to the economy under its Development Vision 2050.
tanzaniainvest.com ↗Her message comes at a critical time for Tanzania, whose population is projected to grow from about 67 million today to over 120 million by 2050.
thecitizen.co.tz ↗The Tanzanian government has stated that the recommendations contained in the Economic Freedom Audit Report will drive policy reforms, strengthen economic freedom, and significantly contribute to Tanzania’s journey towards a strong and competitive economy by 2050.
dailynews.co.tz ↗Best goal: 'Generate TZS 70 million in revenue, with 8 new clients in Q1–Q2 via content marketing.'
tanzlite.com ↗Lead generation: 90 qualified inquiries per year.
mwananchi.co.tz ↗Retention: 70% repeat business.
bongo5.com ↗Target ARPU of TZS 5 million.
CAC under TZS 300k.
Dk Mwigulu amewataka wakuu wa mikoa kusimamia kikamilifu maandalizi na mapokezi ya wanafunzi wa elimu msingi ya lazima ya miaka 10, watakaojiunga na kidato cha kwanza mwaka 2028 kwa kukamilisha miundombinu na huduma zote muhimu.
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba ameyabainisha hayo leo Bungeni Dodoma wakati akiwasilisha hotuba ya mapito na mwelekeo wa kazi za Serikali, Makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2026/27 ambapo amesema kuwa utekelezaji wa Dira 2050 unakusudia kuifanya Tanzania kuwa na uchumi wa thamani ya dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050, huku wastani wa pato la mtu mmoja mmoja ukitarajiwa kufikia dola 7,000 kwa mwaka.
ECONOMY
19
10
7
Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict
Maelezo ya Ziada
In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.
thechanzo.com ↗wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.
mwananchi.co.tz ↗Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.
thecitizen.co.tz ↗wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.
globalpublishers.co.tz ↗Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.
mwananchi.co.tz ↗The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.
dailynews.co.tz ↗Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani
globalpublishers.co.tz ↗Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.
mzalendo.co.tz ↗Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.
mzalendo.co.tz ↗Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.
bongo5.com ↗Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.
Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”
Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.
The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.
Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.
Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.
TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI
Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8 kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.
Maelezo ya Ziada
Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.
mwananchi.co.tz ↗William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo
dailynews.co.tz ↗PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.
habarileo.co.tz ↗Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.
mwananchi.co.tz ↗Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.
thecitizen.co.tz ↗Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.
dailynews.co.tz ↗Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.
habarileo.co.tz ↗Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.
habarileo.co.tz ↗Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.
globalpublishers.co.tz ↗According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.
globalpublishers.co.tz ↗Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.
mzalendo.co.tz ↗Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.
swahilitimes.co.tz ↗Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.
mwananchi.co.tz ↗All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.
Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.
WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.
Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.
Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.
William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.
Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.
PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.
President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.
DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.
