Gundua

439 habari
Nukta Publish

Habari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta

Unaona habari zinazohusishwa na Mzalendo chini (pamoja na mengine ya Gundua).

Featured Bajeti ya Serikali Tanzania yapaa h…

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar,akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 10,2026 jijini Dodoma kuhusu Bajeti ya Serikali ya mwaka 2026/27 inayotarajiwa kusomwa kesho Juni 11,2026 bungeni Dodoma. Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, amesema Bajeti ya Serik…

Mzalendo
Featured Tanesco yazindua kituo cha kuchajia…

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA Serikali imezindua rasmi mpango wa kihistoria wa ukopeshaji wa majiko ya umeme kwa wateja wa TANESCO na mradi wa ujenzi wa vituo vya kuchajia vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme, hatua inayolenga kuharakisha matumizi ya nishati safi nchini na kupunguza gharama za maisha kwa wananch…

Mzalendo
Featured Waziri wa tamisemi profesa riziki s…

Na.OWM- TAMISEMI, Iringa Mikoa ya Manyara na Arusha imeanza vizuri Mashindano ya UMITASHUMTA baada ya timu zao kupata ushindi katika michezo iliyochezwa leo tarehe 11 Juni 2026. Kwa upande wa Wasichana, timu ya Mkoa wa Manyara imeifunga Morogoro kwa Seti 3-0 katika mchezo uliochezwa viwanja vya chuo cha ualimu Kleruu …

Mzalendo
Featured Nchimbi mgeni rasmi siku ya mazingi…

Dar es Salaam Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umeitaka Serikali kuhakikisha Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 inatekelezwa kwa ufanisi ili kufanikisha malengo ya maendeleo ya taifa yaliyowekwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa mjadala na uchambuzi wa Bajeti ya Taifa …

Mzalendo
Featured Waziri mkuu: fedha za maji, barabar…

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuondoa vikwazo na kuimarisha ushirikiano na sekta binafsi ili kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini. Ameyasema hayo leo (Jumatano, Juni 10, 2026), wakati akizindua ghala la forodha la kampuni ya Ciwaye Trading Co. Ltd Wilayani Chamwino mkoani Dodoma. “Kam…

Mzalendo
Featured Ccm yadai kuna mipango ya maandaman…

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amedai kuwa chama hicho kimepata taarifa zinazoonyesha kuwapo kwa vikao vya siri vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya viongozi wa CHADEMA kwa lengo la kuh…

Mzalendo
Utawala wa Umma na Ulinzi Wajasiriamali iringa watakiwa kuong…

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kusimamia utoaji wa haki kwa wananchi na kuimarisha uwajibikaji kwa watumishi wa umma ili kuhakikisha huduma za Serikali zinatolewa kwa ufanisi, kwa wakati na kwa kuzingatia maslahi ya wananchi. Amesema hayo leo Ijumaa, Juni 5, 2026 alipokuwa akizungumza na …

Mzalendo
Elimu Suala jumuishi kwa watu wenye ulema…

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha kundi la Wanawake wenye Ulemavu, Nassriya Nassir Ali,ameomba Serikali kujenga shule jumuishi katika kila Mkoa ili kupunguza changamoto kwa watoto wenye ulemavu kulazimika kusafiri umbali mrefu kufuata elimu maalumu. Akichangia mjadala wa bajeti ya…

Mzalendo
Afya na Huduma za Jamii Benki ya Exim Tanzania yaendesha zo…

Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa,akiwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo Mei 11,2026 bungeni Dodoma. Na Atley Kuni, WAF-Dodoma Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali imejipanga kuendelea kuboresha Sekta ya Afya nchini kupitia utekelezaji wa vipaumbele mbalimbali vitakavyoonge…

Mzalendo
Featured Jeshi la magereza lashiriki maadhim…

Wadau mbalimbali waliotembelea Banda la Wakala wa Vipimo (WMA) katika siku ya kwanza ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Juni 16, 2026 wamekiri kuvutiwa na elimu inayotolewa na timu ya wataalamu kuhusu matumizi sahihi ya vipimo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, Nadhifa Nyoni kutoka Mamlaka ya Maji (TANGA UWAS…

Mzalendo
Uncategorized TANESCO yakamilisha miradi ya kuima…

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limekamilisha na kuzindua mradi wa kimkakati wa Kituo cha Kubadilishia Njia za Usambazaji Umeme (Switching Station) pamoja na Transforma ya Kudhibiti Umeme katika eneo la Mbande, Wilaya ya Kongwa, uliogharimu zaidi ya shilingi bilioni 10.5. Mradi huo unahusisha ujenzi wa kituo cha k…

Mzalendo
Featured Mshikamano kitaifa wapewa kipaumbel…

Na. OWM (KAM), Morogoro Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Deus Sangu amesema mahusiano mema, mazungumzo ya kujenga na mshikamano wa kitaifa ni nguzo muhimu katika kuimarisha demokrasia, amani na maendeleo endelevu nchini. Akifungua Warsha ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wajumbe wa Baraz…

Mzalendo
Utalii na Ukarimu Samia: Tanzania ni kituo muhimu cha…

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo Mei 15, 2026 bungeni Dodoma. Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA Serikali imeeleza dhamira yake ya kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha utalii wa mikutano na matukio ya kimataifa barani Afrika kupitia mikakati…

Mzalendo
Uncategorized Rais wa Namibia kuwasili Tanzania z…

Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, amewasili nchini kwa Ziara ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 19 hadi 21 Juni 2026, kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam…

Mzalendo
Featured Rais samia amuapisha jingu,asisitiz…

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 08 Juni, 2026.

Mzalendo
Featured Wrrb yafungua ukurasa mpya kwa wafu…

Na Mwandishi Wetu Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imesema matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala katika sekta ya mifugo yataimarisha masoko na kuongeza ushindani wa bei ya bidhaa hiyo nchini. Akizungumza Juni 19, 2026 katika Maonesho ya Mifugo na Mnada wa Kimataifa yanayofanyika katika Shamba la Mbog…

Mzalendo
Featured Ofisi ya waziri mkuu yathibitisha n…

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete,akizungumza leo Juni 1, 2026 jijini Dodoma wakati akifungua kikao kazi cha siku tatu cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu kutoka Wizara, Idara Zinazojitegemea, Wakala za Serikali, Taasis…

Mzalendo
Featured Serikali kuwainua vijana kupitia ut…

Serikali imesema itaendelea kuimarisha elimu ya ujuzi na umahiri ili kuwajengea vijana uwezo wa kujiajiri na kuhimili ushindani wa soko la ajira, huku ikilenga kuwafikia vijana 80,000 kupitia Programu ya Mama Samia ya Utambuzi na Urasimishaji wa Ujuzi ifikapo Juni 2027. Akizungumza katika Mahafali ya 18 ya Chuo cha Uf…

Mzalendo
Featured Wahandisi tanroads, tarura watakiwa…

‎Na Mwandishi Wetu – Tabora ‎ ‎Mkoa wa Tabora umefikia asilimia 80 ya utekelezaji wa miradi ya matengenezo ya dharura inayofadhiliwa kupitia Mfuko wa Dharura (CERC) huku zaidi ya bilioni 1.6 zikitumika kurejesha mawasiliano na kuboresha miundombinu katika wilaya tatu za mkoa huo. ‎ ‎Meneja wa Wakala ya Barabara za Vij…

Mzalendo
Featured Tanzania, Ujerumani wasaini mkataba…

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa msaada wenye thamani ya Euro milioni 20, sawa na Shilingi bilioni 60.7, kutoka Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW),kwa ajili ya kutekeleza mradi mkubwa wa kuboresh…

Mzalendo
Featured WRRB yatekelezaji maagizo ya Waziri…

Bodi ya Usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeanza rasmi utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ya kuimarisha usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala na kuhakikisha changamoto zinazojitokeza katika utekelezaji wake zinatatuliwa bila kurudi kwenye biashara holela ya ma…

Mzalendo
Featured Zambia Rea Team Visits Chamwino to …

Mamlaka ya Umeme Vijijini (REA) kutoka nchini Zambia yapongeza utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini inayotekelezwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Pongezi hizo zimetolewa leo Juni 24, 2026 na Mtendaji Mkuu wa REA Zambia, Mhandisi Alex Mbumba wakati wa ziara y…

Mzalendo
Featured Serikali yafafanua upotoshaji kuhus…

Serikali ya Tanzania imeingia makubaliano na kampuni mbili kutoka Japan kwa ajili ya kufungua fursa za soko la biashara ya kaboni kupitia mpango wa Uratibu wa Pamoja wa Mikopo (JCM), hatua inayolenga kuongeza mchango wa sekta binafsi katika kufanikisha dira ya taifa ya maendeleo ya mwaka 2050. Akizungumza katika warsh…

Mzalendo
Featured Wafugaji wakoshwa na mpango wa stak…

Na Mwandishi Wetu WAFUGAJI nchini wamefurahishwa na mpango wa matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye sekta ya mifugo wakidai kuwa utaleta manufaa makubwa katika masoko na biashara shindani ya mifugo. Akizungumza baada ya kutembelea banda la Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) katika Maonesho ya Mi…

Mzalendo
Featured Wabunge Waipongeza NSSF na PSSSF kw…

Maafisa wa Wizara ya Fedha, wakiendelea kutoa elimu kwa wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), yenye Kaulimbiu kuu “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba ni Fahari ya Tanzania”, yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, …

Mzalendo
Featured Waziri kapinga atembelea kiwanda ch…

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na wawekezaji wa sekta ya viwanda ili kutatua changamoto zinazokwamisha uzalishaji na kuweka mazingira bora yatakayochochea ukuaji wa uchumi wa viwanda nchini. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Judith Kapinga mara b…

Mzalendo
Featured Makamu wa rais amwakilisha rais sam…

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Elias Magembe akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Ndugu Charles Ngeleja Kandonya pamoja na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Ndugu Nolasco Jacob, wakiapa Kiapo cha Maadili, Ikulu Jijini …

Mzalendo
Featured Serikali yaendelea kuchukua hatua k…

Na Jackline Minja, WMMJW Mtwara Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi, amesisitiza umuhimu wa malezi na makuzi bora kwa watoto, akieleza kuwa ndiyo msingi wa kujenga kizazi chenye maadili, afya njema, elimu na uwezo wa kushiriki kikamilifu katika maend…

Mzalendo
Featured Dkt. munisi: watumishi wa umma dumi…

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb) , amesema Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yameonyesha mafanikio makubwa ya sekta ya viwanda na biashara pamoja na fursa zinazotolewa na Serikali kwa vijana na wanawake. Waziri Kapinga amesema hayo akiwa ameambatana na Katibu Mk…

Mzalendo
Featured Prof. shemdoe: elimu ndiyo msingi w…

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-KIBAIGWA DODOMA SERIKALI imezindua rasmi Mradi wa Twiga Future Forward Education Program unaotekelezwa kwa ushirikiano na Barrick Tanzania, huku ikisisitiza kuwa uwekezaji mkubwa unaoendelea kufanywa katika sekta ya elimu ni nguzo muhimu ya kujenga uchumi wenye ushindani, kuandaa rasilimali…

Mzalendo
Featured Balozi omar: sabasaba ni fursa ya k…

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akizungumza na baadhi ya watumishi wa Wizara hiyo walioshiriki kutoa elimu kwa umma, wakati alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), yenye Kaulimbiu ya “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa…

Mzalendo
Makala kuhusu matukio yaliyopita

Habari nyingine

PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JULAI 5,2026
Featured

PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JULAI 5,2026

Mzalendo· Alex Sonna· Jana
MHE. RIDHIWANI KIKWETE AZINDUA TAFITI SITA ZITAKAZOFANYA TPSC KUWA KITOVU CHA MAARIFA NA USHAHIDI WA KISAYANSI KATIKA KUBORESHA UTUMISHI WA UMMA
Featured

MHE. RIDHIWANI KIKWETE AZINDUA TAFITI SITA ZITAKAZOFANYA TPSC KUWA KITOVU CHA MAARIFA NA USHAHIDI WA KISAYANSI KATIKA KUBORESHA UTUMISHI WA UMMA

Mzalendo· Alex Sonna· Jana
RAIS SAMIA KALETA BILIONI 1.2 ZA UJENZI WA SHULE ZA MSINGI MLIMBA- PROF. SHEMDOE
Featured

RAIS SAMIA KALETA BILIONI 1.2 ZA UJENZI WA SHULE ZA MSINGI MLIMBA- PROF. SHEMDOE

Mzalendo· Alex Sonna· Jana
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JULAI 4,2026
Featured

PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JULAI 4,2026

Mzalendo· Alex Sonna· Siku 2 zilizopita
MIAKA 25 YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA, MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA KUJENGA RASILIMALIWATU YENYE TIJA
Featured

MIAKA 25 YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA, MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA KUJENGA RASILIMALIWATU YENYE TIJA

Mzalendo· Alex Sonna· Siku 2 zilizopita
MAHUNDI AWASILI RUVUMA KUSHIRIKI KONGAMANO LA WANAWAKE “MTOKO WA FAMILIA”
Featured

MAHUNDI AWASILI RUVUMA KUSHIRIKI KONGAMANO LA WANAWAKE “MTOKO WA FAMILIA”

Mzalendo· Alex Sonna· Siku 2 zilizopita
WIZARA YA FEDHA YASISITIZA ELIMU YA FEDHA KUKUZA UCHUMI WA NCHI IFIKAPO 2050
Featured

WIZARA YA FEDHA YASISITIZA ELIMU YA FEDHA KUKUZA UCHUMI WA NCHI IFIKAPO 2050

Mzalendo· Alex Sonna· Siku 2 zilizopita
MHE BALOZI OMAR – SOKO LA HISA LIWE NGUZO YA UCHUMI SHINDANI NA KITOVU CHA UWEKEZAJI AFRIKA
Featured

MHE BALOZI OMAR – SOKO LA HISA LIWE NGUZO YA UCHUMI SHINDANI NA KITOVU CHA UWEKEZAJI AFRIKA

Mzalendo· Alex Sonna· Siku 2 zilizopita
WAZIRI MKUU: SERIKALI KULINDA NA KUENDELEZA URITHI WA BABA WA TAIFA, BUTIAMA
Featured

WAZIRI MKUU: SERIKALI KULINDA NA KUENDELEZA URITHI WA BABA WA TAIFA, BUTIAMA

Mzalendo· Alex Sonna· Siku 2 zilizopita
SERIKALI YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA MIRADI YA NYUMBA ZA WATUMISHI WA UMMA KIGOMA
Featured

SERIKALI YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA MIRADI YA NYUMBA ZA WATUMISHI WA UMMA KIGOMA

Mzalendo· Alex Sonna· Siku 2 zilizopita
TEKNOLOJIA YA NYUKLIA IKIENDELEA KUFUNGUA MILANGO YA BIASHARA, UWEKEZAJI NA MAENDELEO YA TANZANIA
Featured

TEKNOLOJIA YA NYUKLIA IKIENDELEA KUFUNGUA MILANGO YA BIASHARA, UWEKEZAJI NA MAENDELEO YA TANZANIA

  Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam. Kadri Maonesho ya 56 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanavyoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius

Mzalendo· Alex Sonna· Siku 2 zilizopita
RAIS DKT.KIKWETE ASHIRIKI MKUTANO MKUU WA AFRIKA LONDON
Featured

RAIS DKT.KIKWETE ASHIRIKI MKUTANO MKUU WA AFRIKA LONDON

Mzalendo· Alex Sonna· Siku 2 zilizopita
WAZIRI MKENDA ASISITIZA USAJILI WA WATAFITI KUCHOCHEA MAENDELEO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Featured

WAZIRI MKENDA ASISITIZA USAJILI WA WATAFITI KUCHOCHEA MAENDELEO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA

Mzalendo· Alex Sonna· Siku 2 zilizopita
TARURA YAIMARISHA MPANGO WA CBRM KUBORESHA MATENGENEZO YA BARABARA NCHINI
Featured

TARURA YAIMARISHA MPANGO WA CBRM KUBORESHA MATENGENEZO YA BARABARA NCHINI

Mzalendo· Alex Sonna· Siku 2 zilizopita
WAZIRI SANGU: TAASISI ZA DINI NI NGUZO YA AMANI, MAADILI NA MALEZI BORA
Featured

WAZIRI SANGU: TAASISI ZA DINI NI NGUZO YA AMANI, MAADILI NA MALEZI BORA

Mzalendo· Alex Sonna· Siku 2 zilizopita
NAIBU WAZIRI WA FEDHA AKUTANA NA UONGOZI WA SHELTER AFRIQUE DEVELOPMENT BANK KUIMARISHA USHIRIKIANO
Featured

NAIBU WAZIRI WA FEDHA AKUTANA NA UONGOZI WA SHELTER AFRIQUE DEVELOPMENT BANK KUIMARISHA USHIRIKIANO

Mzalendo· Alex Sonna· Siku 2 zilizopita
TANZANIA YAWEKA MSIMAMO WAKE KUHUSU MFUKO WA MAENDELEO WA SADC NA VYANZO VYA UGHARAMIAJI WA MIRADI YA KIKANDA
Featured

TANZANIA YAWEKA MSIMAMO WAKE KUHUSU MFUKO WA MAENDELEO WA SADC NA VYANZO VYA UGHARAMIAJI WA MIRADI YA KIKANDA

Mzalendo· Alex Sonna· Siku 2 zilizopita
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA WILAYA YA BUTIAMA KIZURIRA NYERERE
Featured

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA WILAYA YA BUTIAMA KIZURIRA NYERERE

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameweka jiwe la msingi la Hospitali ya Wilaya ya Butiama Kizurira Nyerere wilayani Butiama, mkoani Mara, ikiwa ni sehemu ya zi

Mzalendo· Alex Sonna· Siku 2 zilizopita
WAZIRI OMAR AISIFU SELF KWA KUONGEZA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA KIFEDHA
Featured

WAZIRI OMAR AISIFU SELF KWA KUONGEZA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA KIFEDHA

Mzalendo· Alex Sonna· Siku 3 zilizopita
MAAFISA VIPIMO WAWATEMBELEA WAJASIRIAMALI SABASABA NA KUWAPA ELIMU YA VIPIMO
Featured

MAAFISA VIPIMO WAWATEMBELEA WAJASIRIAMALI SABASABA NA KUWAPA ELIMU YA VIPIMO

Mzalendo· Alex Sonna· Siku 3 zilizopita
POLITICS Jun 25, 2026 7 7 4

Keir Starmer's Resignation as UK Prime Minister

Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na uongozi wa chama tawala cha Labour.

Maelezo ya Ziada
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na uongozi wa chama tawala cha Labour.
swahilitimes.co.tz ↗
Starmer confirmed that he would step aside and oversee a smooth transfer of power, telling the country that Britain needed fresh leadership to restore stability at a moment of rising political strain inside the Labour Party.
dailynews.co.tz ↗
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametangaza kujiuzulu wadhifa wake na uongozi wa Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz ↗
Kuwasili kwa mwanasiasa huyo mahiri, ambaye hadi wiki iliyopita alikuwa Meya wa Greater Manchester, kunajiri saa chache baada ya Keir Starmer kutangaza kujiuzulu rasmi wadhifa wa Waziri Mkuu kutokana na shinikizo kubwa la kisiasa ndani ya Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz ↗
Kujiuzulu kwa Starmer kunahitimisha safari ya kisiasa iliyokuwa imeanza kwa matumaini makubwa baada ya ushindi wa kihistoria wa Labour katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.
mwananchi.co.tz ↗
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu wadhifa huo, akisema anaheshimu mawazo ya chama chake cha Labour, baada ya mpinzani wake kuibuka kidedea Ijumaa iliyopita.
ippmedia.co.tz ↗
Starmer anang’oka uwaziri mkuu, zinawadia zama mpya za siasa UK
mwananchi.co.tz ↗
ECONOMY Apr 01, 2026 12 8 7

Tanzania's Vision 2050: Transforming Economy to 1 Trillion USD

Vision 2050, which seeks to transform the country into a high-income, industrialled economy valued at 1 trillion US dollars.

Maelezo ya Ziada
Vision 2050, which seeks to transform the country into a high-income, industrialled economy valued at 1 trillion US dollars.
dailynews.co.tz ↗
Utekelezaji wa DIRA 2050, unaokadiriwa kugharimu takribani dola za Marekani trilioni 1, utategemea kwa kiasi kikubwa uwekezaji wa sekta binafsi unaotarajiwa kuchangia zaidi ya asilimia 70 ya gharama za utekelezaji.
mzalendo.co.tz ↗
Tanzania is strengthening its engagement with the African Trade and Investment Development Insurance (ATIDI) to support private sector-led growth, as the country targets a 70% private sector contribution to the economy under its Development Vision 2050.
tanzaniainvest.com ↗
Her message comes at a critical time for Tanzania, whose population is projected to grow from about 67 million today to over 120 million by 2050.
thecitizen.co.tz ↗
The Tanzanian government has stated that the recommendations contained in the Economic Freedom Audit Report will drive policy reforms, strengthen economic freedom, and significantly contribute to Tanzania’s journey towards a strong and competitive economy by 2050.
dailynews.co.tz ↗
Best goal: 'Generate TZS 70 million in revenue, with 8 new clients in Q1–Q2 via content marketing.'
tanzlite.com ↗
Lead generation: 90 qualified inquiries per year.
mwananchi.co.tz ↗
Retention: 70% repeat business.
bongo5.com ↗
Target ARPU of TZS 5 million.
CAC under TZS 300k.
Dk Mwigulu amewataka wakuu wa mikoa kusimamia kikamilifu maandalizi na mapokezi ya wanafunzi wa elimu msingi ya lazima ya miaka 10, watakaojiunga na kidato cha kwanza mwaka 2028 kwa kukamilisha miundombinu na huduma zote muhimu.
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba ameyabainisha hayo leo Bungeni Dodoma wakati akiwasilisha hotuba ya mapito na mwelekeo wa kazi za Serikali, Makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2026/27 ambapo amesema kuwa utekelezaji wa Dira 2050 unakusudia kuifanya Tanzania kuwa na uchumi wa thamani ya dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050, huku wastani wa pato la mtu mmoja mmoja ukitarajiwa kufikia dola 7,000 kwa mwaka.
ECONOMY Apr 01, 2026 19 10 7

Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

Maelezo ya Ziada
In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.
thechanzo.com ↗
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.
mwananchi.co.tz ↗
Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.
thecitizen.co.tz ↗
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.
globalpublishers.co.tz ↗
Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.
mwananchi.co.tz ↗
The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.
dailynews.co.tz ↗
Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani
globalpublishers.co.tz ↗
Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.
mzalendo.co.tz ↗
Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.
mzalendo.co.tz ↗
Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.
bongo5.com ↗
Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.
Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”
Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.
The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.
Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.
Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.
TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI
Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8​ kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.
NATIONAL Mar 28, 2026 28 15 7

William Lukuvi's Death Announced by President Samia Suluhu Hassan on March 25, 2026

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

Maelezo ya Ziada
Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.
mwananchi.co.tz ↗
William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo
dailynews.co.tz ↗
PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.
habarileo.co.tz ↗
Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.
mwananchi.co.tz ↗
Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.
thecitizen.co.tz ↗
Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.
dailynews.co.tz ↗
Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.
habarileo.co.tz ↗
Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.
habarileo.co.tz ↗
Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.
globalpublishers.co.tz ↗
According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.
globalpublishers.co.tz ↗
Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.
mzalendo.co.tz ↗
Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.
swahilitimes.co.tz ↗
Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.
mwananchi.co.tz ↗
All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.
Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.
WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.
Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.
Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.
William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.
Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.
PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.
President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.
DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.