
Gundua
4190 habariHabari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta
Unaona habari zinazohusishwa na Habari Leo chini (pamoja na mengine ya Gundua).

246 Areas Identified for Urgent Reform in Tanzania's Blueprint II · 246 Suspected Ebola Cases and 80 Reported Deaths in DRC
Ebola

Nishati na Umeme
Fuel Prices
DAR ES SALAAM: MENEJA Mwekezaji wa Bohari ya Mafuta ya MOIL Energies Dk Sajad Habib Rai, amesema Serikali ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua kuhakikisha mafuta yanaendelea kupatikana nchini huku ikidhibiti makali ya ongezeko la bei linalochochewa na mgogoro wa Mashariki ya Kati unaohusisha Iran, Israel na Marekani.…

Infographics
Bajeti ya Serikali Tanzania yapaa h…
SERIKALI imetaja vipaumbele vitano katika mapendekezo ya mfumo na ukomo wa bajeti kwa mwaka 2026/2027. Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar alisema hayo wakati wa kuwasilisha mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2026/2026 katika mkutano wa wabunge wote Dodoma jana. Balozi Omar alisema ser…

Michezo na Burudani
Mexico yaianza kombe la dunia kwa u…
MWAKA 2022 kwenye fainali za Kombe la Dunia zilizofanyika Qatar, Morocco ilifika nusu fainali na kuwa taifa la kwanza kutoka Afrika kufanya hivyo. Imeweka rekodi inayoweza kudumu vizazi na vizazi na pengine, kama kuna taifa kutoka Afrika itakayoweza kuivunja rekodi hii, basi ni Morocco yenyewe. Rekodi ya kuwa taifa la…
Featured
Tanesco yazindua kituo cha kuchajia…
Miaka mitano iliyopita, haikuwa jambo la ajabu kutembea katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusikia ngurumo za jenereta karibu kila kona. Maduka ya jumla, maghala, karakana, viwanda vidogo na hata ofisi nyingi zilikuwa na jenereta kama sehemu ya kawaida ya shughuli za kila siku. Kukatika kwa umeme kulimaa…
Michezo na Burudani
Waziri wa tamisemi profesa riziki s…
IRINGA: SERIKALI imetangaza mkakati mpya wa kitaifa wa kutambua, kusajili na kufuatilia vipaji vinavyoibuliwa kupitia mashindano ya UMITASHUMTA na UMISETA, hatua inayolenga kuhakikisha hakuna kipaji kinachopotea na kwamba vijana wenye uwezo katika michezo na sanaa wanapata nafasi ya kuendelezwa hadi kufikia ngazi za k…

Tanzania
Nchimbi mgeni rasmi siku ya mazingi…
SERIKALI imeagiza mipango na bajeti za halmashauri vizingatie utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 na Mpango wa Taifa wa Maendeleo. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Sospeter Mtwale alisema hayo jijini Dodoma akifungua kikaokazi cha makatibu tawala wasaid…

Kanda
Waziri mkuu: fedha za maji, barabar…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema haikubaliki kwa watendaji wa Serikali kupokea fedha za utekelezaji wa miradi kisha kushindwa kuzitumia kwa wakati, hali inayosababisha wananchi kukosa huduma na maendeleo yaliyokusudiwa. Dk Mwigulu ametoa kauli hiyo leo Februari 18, 2026, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Ndu…

Siasa
Ccm yadai kuna mipango ya maandaman…
DODOMA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuunga mkono juhudi za Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, za kuharakisha maendeleo ya wananchi huku kikisisitiza kuwa amani, umoja na mshikamano ni msingi muhimu wa maendeleo ya taifa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Juni 13,2026 Katibu wa Halmasha…

Chaguzi
Waziri mchengerwa afungua mafunzo k…
DAR-ES-SALAAM : CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kuwaletea wakazi wa Dar es Salaam mapinduzi makubwa ya kimaendeleo katika sekta za miundombinu, ardhi, usafi rishaji, uchumi, ajira na biashara, ikiwemo kujenga stendi ya kisasa na kukamilisha Mradi wa Mwendokasi Awamu ya Pili Mbagala ikiwa ni sehemu ya utekelezaji w…

Tanzania
Wajasiriamali iringa watakiwa kuong…
IRINGA: WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Serikali haitasita kuwaondoa kazini watumishi wa umma watakaobainika kuwanyima wananchi haki zao au kuwazungusha bila sababu wanapohitaji huduma katika ofisi za umma. Akizungumza katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Jimbo la Ismani ulio…

Tanzania
Suala jumuishi kwa watu wenye ulema…
MAREKANI: Serikali ya Tanzania imeeleza mafanikio makubwa iliyoyapata katika kuimarisha ustawi na ujumuishwaji wa watu wenye ulemavu, huku ikisisitiza umuhimu wa kuongeza upatikanaji wa vifaa na teknolojia saidizi ili kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii na kiuchumi. Akihitimisha ushiriki wa Ta…

Afya
Benki ya Exim Tanzania yaendesha zo…
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imetoa maelekezo kwa hospitali zote nchini kufuata miongozo ya Bunge katika kuimarisha programu za afya ya mama na mtoto.

Fedha
NMB yaingia katika awamu mpya ya uk…
SIMIYU: Benki ya NMB kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, imeendelea kutekeleza mfumo mpya wa utolewaji mikopo ya halmashauri asilimia 10 kwa vikundi vya wanawake, vijana na wenye ulemavu katika halmashauri hiyo. Ikiwa ni awamu ya pili benki hiyo kuwezesha kutoa mikopo hiyo ndani ya Halm…

Michezo na Burudani
Kombe la Dunia 2026: Hawa hapa viun…
TETESI za usajili zinadai klabu ya Liverpool inamtafakari nyota wa Bayern Munich, Michael Olise (23), kama mbadala wa Mohamed Salah wa Misri (33), na ipo tayari kutumia kiasi kikubwa cha fedha kumsajili mshambuliaji huyo wa Ufaransa.(Fichajes in Spanish) Arsenal imeingia katika mbio kumsajili Karim Adeyemi, (23) wa Bo…

Kimataifa
Trump: Makubaliano ya Amani Iran na…
UFARANSA: Rais wa Marekani, Donald Trump ametishia kurejea katika mashambulizi na kuwaua maofisa wa Iran iwapo hawatafuata masharti ya makubaliano hayo ya kumaliza vita yaliyosainiwa jana katika mkutano wa G7 nchini Ufaransa. Makubaliano hayo ya vipengele 14 yanaongeza muda wa kusitishwa kwa mapigano uliotangazwa Apri…

Featured
TAKUKURU Yawafikisha Mahakamani Wat…
GEITA; TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Geita imewafikisha mahakamani watumishi sita wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Geita kwa tuhuma za ubadhirifu wa Sh milioni 261.4 za mirathi. Watumishi hao wa mahakama na watumishi wanne wa idara zingine za serikali pamoja na wafanyabiashara wanne wal…

Tanzania
Kunenge Aitaka Halmashauri Chalinze…
PWANI: Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amesema wakuu wa wilaya, wakurugenzi na watendaji mbalimbali wa serikali wanapaswa kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa wakati na kwa kuzingatia kanuni na taratibu ili kuondoa urasimu unaochelewesha huduma kwa wananchi na kukwamisha wawekezaji. Kunenge ametoa kauli …

Jamii
Mshikamano kitaifa wapewa kipaumbel…
JUMUIYA ya Kikristu Tanzania (CCT) imepongeza jitihada za Serikali kukuza ari ya mahusiano miongoni mwa jamii ya kitanzania hatua itakayosaidia kuleta utengamano na mshikamano wa kidugu. Hatua hiyo imekuja wakati Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu alipokutana na Viongozi wa CCT…

Tanzania
Samia: Tanzania ni kituo muhimu cha…
MOROGORO: Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Czech mwenye makazi yake Berlin, Ujerumani, Hassani Iddi Mwamweta wamewekeana saini mkataba na Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania katika Jamhuri ya Czech, Roman Glorig wa kuhuisha rasmi nafasi yake ya uwakilishi wa heshima. Balozi Mwamweta alisaini mkataba huo Septemba 02,…

Tanzania
Rais samia amuapisha jingu,asisitiz…
JANA Rais Samia Suluhu Hassan aliagiza Mahakama ya Tanzania itekeleze mambo 12 kuchangia utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya Mwaka 2050. Rais Samia aliyasema hayo kupitia hotuba yake iliyosomwa kwa niaba yake na Makamu wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria na uzinduzi wa …

Tanzania
Wrrb yafungua ukurasa mpya kwa wafu…
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) na Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) zimeagizwa kuwa na mkakati wa kuwawezesha wakulima kuanzia uzalishaji ukusanyaji hadi uuzaji ili kuleta tija na bei nzuri ya mazao. Vilevile Serikali imetoa rai kwa wakulima na wafanyabiashara kuwa waaminifu …

Biashara
Ofisi ya waziri mkuu yathibitisha n…
DODOMA; WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga ametoa rai kwa watumishi wa wizara hiyo kufanya kazi kwa weledi, uaminifu upendo na ushirikiano, ili sekta hiyo iendelee kuchangia kwa kiwango kikubwa ukuaji wa uchumi wa nchi. Alitoa rai hiyo Februari 11, 2026 Mtumba, jijini Dodoma wakati wa mapokezi ya Katibu Mku…

Chakula na Mapishi
Benki ya Absa Tanzania na WWF wapan…
DAR ES SALAAM: WANAWAKE wajasiriamali wameendelea kupatiwa nyenzo muhimu za kuwawezesha kukuza biashara zao na kuimarisha ustawi wao kupitia mafunzo mbalimbali nchini. Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Benki ya ABSA wametoa mafunzo maalumu kwa wanawake hao yatakayowapa mustakabali bora wa…

Featured
Kamanda wa Polisi Tabora SACP Richa…
TABORA; Kamandawa Polisi Mkoa wa Tabora (RPC), Richard Abwao amefariki dunia leo Juni 20, 2026 akiwa kwenye matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amesema Kamanda Abwao alikuwa akipatiwa matibabu kwenye hospitali hiyo, lakini leo wamepokea taarifa hizo za kusikitisha.…

Chakula na Mapishi
Wagonjwa 823 kufanyiwa upasuaji mac…
Katika kipindi cha miaka mitano, Serikali ilitenga zaidi ya Sh trilioni 228 kwenye bajeti zake huku Sh trilioni 76.3 zikielekezwa kwenye maendeleo. Je fedha hizo zimeleta matokeo gani katika maisha ya wananchi na uchumi wa Taifa? Ungana na SYLIVESTER DOMASA katika makala haya. Mwaka 2021, mkazi wa Sumbawanga aliyekuwa…

Fedha
Tra yakusanya trilioni 32.3 baada y…
DAR ES SALAAM: WATUNGA sera, watafiti, wataalamu wa kodi, wawakilishi wa sekta binafsi, walipa kodi na wadau mbalimbali wa maendeleo wanatarajia kukutana kesho Dar es Salaam kujadili mafanikio ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Majadiliano hayo yatalenga mafanikio yaliyopatikana katika miaka 30 ya usimamizi wa mapat…

Afya
Rais samia azindua kituo cha tiba y…
KATAVI: Zaidi ya wananchi 850 waliokuwa wakisumbuliwa na maradhi mbalimbali wamepatiwa huduma za matibabu na uchunguzi wa afya bila malipo kupitia kambi maalumu ya afya iliyoendeshwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Empower Society Build the Nation (ESBN) mkoani Katavi. Kambi hiyo ya siku saba imehitimishwa jana baad…
Tanzania
Mkurugenzi Mkuu TASAC: MV Liemba Ku…
KIGOMA: Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Kigoma imetoa rai kwa wananchi wanaoishi pembezoni mwa miundombinu ya barabara kushiriki kikamilifu katika kulinda na kutunza miundombinu hiyo ili iweze kudumu kwa muda mrefu na kuendelea kuwa salama kwa watumiaji. Rai hiyo imetolewa na Me…

Featured
WRRB yatekelezaji maagizo ya Waziri…
BODI ya Usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeanza rasmi utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, yenye lengo la kuimarisha usimamizi wa mfumo huo na kuhakikisha changamoto zinazojitokeza zinapatiwa ufumbuzi bila kurejea kwenye biashara holela ya mazao. Akitoa taarifa baada…

Michezo na Burudani
Mbio za miaka 30 ya tra: eliona asi…
DODOMA: MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka walipakodi na wananchi wote kujitokeza kwa wingi kushiriki katika matembezi na Mbio za Shukrani kwa Mlipakodi, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Tuzo kwa Mlipakodi Bora na maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa mamlaka hiyo. Kwa mujibu wa TRA, tukio hilo linatara…

Featured
Yanga yazima jeuri ya Azam, Simba y…
MWANZA; Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB 2026/27 ni kati ya Simba na Azam FC, baada ya Azam FC kuifunga Yanga mabao 3-2 katika mchezo wa nusu fainali uliomalizika muda mfupi uliopita Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Ilikuwa mechi yenye kila aina msisimko ambapo hadi dakika 90 zinamalizika miamba hiyo ilikuwa imefu…

Afya
Mwenge wa uhuru waridhishwa na mira…
MOROGORO: WANANCHI wa Kata ya Kinole, Tarafa ya Mkuyuni, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro wameipongeza Serikali kwa ujenzi wa Kituo cha Afya Kinole kitakachotoa huduma bora za afya. Wametoa pongezi hizo kwa nyakati tofauti baada ya Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026, Wazo Mwang’onda kuweka Jiwe la Msing…

Infographics
Rc makalla aipongeza halmashauri ya…
MTWARA: HALMASHAURI ya Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara imepata hati safi ya ukaguzi kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Yamejiri hayo wakati wa kikao maalumu cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo ya Wilaya ya Tandhahimba kuhusu kujadili hoja za hesabu z…

Chakula na Mapishi
Wabunge Waipongeza NSSF na PSSSF kw…
WABUNGE wamepongeza Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuendelea kupanua wigo wa huduma za hifadhi ya jamii kupitia Skimu ya Hifadhi kwa Wananchi Waliojiajiri, wakisema mpango huo unatoa fursa kwa mamilioni ya Watanzania kunufaika na huduma za hifadhi ya jamii. Aidha, wamepongeza uwekezaji uliofanywa na Mfu…

Tanzania
Serikali yaendelea kuchukua hatua k…
DAR ES SALAAM: Wakati Tanzania ikiungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika Juni 16, wadau wa maendeleo ya watoto wameitaka jamii na serikali kuongeza uwekezaji katika malezi, afya, elimu na huduma za maji safi ili kuhakikisha watoto wanakua katika mazingira salama na yenye kuwajengea musta…

Madini
Prof. shemdoe: elimu ndiyo msingi w…
TARIME: KIASI cha Sh bilioni 9.4 zimeelekezwa kuboresha shule, makazi ya walimu na kuwawezesha watoto kupata mazingira bora ya kujifunzia Katika vilima vya Tarime ambako dhahabu imekuwa uti wa mgongo wa uchumi wa eneo hilo, hazina nyingine yenye thamani kubwa zaidi inaendelea kung’ara. Hazina hiyo si dhahabu inayochim…

Tanzania
Rais wa msumbiji kuanza ziara ya ki…
RAIS wa Jamhuri ya Msumbiji, Daniel Francisco Chapo, amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Julai 2 hadi 4, 2026.
Habari nyingine

Tanzania
Kafulila azungumzia mchakato ujenzi barabara Tunduma – Igawa

Utalii
TTB yatumia sabasaba kukuza utalii, fursa AFCON

Michezo na Burudani
Ikungi yang’ara Great Ruaha Marathon 2026

Jamii
TANESCO yaja na nyumba janja kudhibiti ajali za moto
DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) wamezindua Nyumba Janja yenye mfumo wa kisasa wa utakaosaidia kuongeza uslaama wa nyumba kwa kupunguza hatari

Afya
Hatua mpya kukabili maambukizi ya VVU vyuoni

Tanzania
Ulega atoa miezi 3 mkandarasi kukamilisha barabara Mtwara

Tanzania
PPP ndio mwendo wa dunia – Prof Mollel

Tanzania
Serikali yaeleza kipaumbele kuimarisha utumishi wa umma

Uchumi
Chalamila ataka PPP kuwa nguzo ya uchumi

Chakula na Mapishi
TBL yataja ongezeko la faida

Utalii
Chande ashiriki mkutano 69 Shirika la Utalii Duniani Afrika
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Chande (Mb.) ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 69 wa Shirika la Utalii Duniani Kamisheni ya Afrika uliof

Uwekezajia
Kafulila agusia uwekezaji Dira 2050

Dini
Viongozi wa dini watakiwa kuhimiza amani

Afya
Wagonjwa 1200 kutibiwa macho

Tanzania
Cheti cha heshima

Chakula na Mapishi
CMSA yahamasisha wananchi kuichangamkia sabasaba

Tanzania
Wazee walalamika kubebeshwa mzigo wa malezi ya wajukuu Geita

Tanzania
Serikali yakabidhiwa mradi wa maji wa mil 465/- Handeni
TANGA: SERIKALI imepokea mradi wa usambazaji wa maji katika mtandao wa bomba wa Kwamaizi, uliotekelezwa katika Kata ya Kideleko, Halmashauri ya Mji Handeni mkoa

Tanzania
TPSF yazungumzia tozo miundombinu ya bandari

Tanzania
Pawaga yageuka kitovu cha uchumi, viwanda vyafungua fursa
POLITICS
7
7
4
Keir Starmer's Resignation as UK Prime Minister
Maelezo ya Ziada
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na uongozi wa chama tawala cha Labour.
swahilitimes.co.tz ↗Starmer confirmed that he would step aside and oversee a smooth transfer of power, telling the country that Britain needed fresh leadership to restore stability at a moment of rising political strain inside the Labour Party.
dailynews.co.tz ↗Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametangaza kujiuzulu wadhifa wake na uongozi wa Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz ↗Kuwasili kwa mwanasiasa huyo mahiri, ambaye hadi wiki iliyopita alikuwa Meya wa Greater Manchester, kunajiri saa chache baada ya Keir Starmer kutangaza kujiuzulu rasmi wadhifa wa Waziri Mkuu kutokana na shinikizo kubwa la kisiasa ndani ya Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz ↗Kujiuzulu kwa Starmer kunahitimisha safari ya kisiasa iliyokuwa imeanza kwa matumaini makubwa baada ya ushindi wa kihistoria wa Labour katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.
mwananchi.co.tz ↗Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu wadhifa huo, akisema anaheshimu mawazo ya chama chake cha Labour, baada ya mpinzani wake kuibuka kidedea Ijumaa iliyopita.
ippmedia.co.tz ↗Starmer anang’oka uwaziri mkuu, zinawadia zama mpya za siasa UK
mwananchi.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Vision 2050, which seeks to transform the country into a high-income, industrialled economy valued at 1 trillion US dollars.
dailynews.co.tz ↗Utekelezaji wa DIRA 2050, unaokadiriwa kugharimu takribani dola za Marekani trilioni 1, utategemea kwa kiasi kikubwa uwekezaji wa sekta binafsi unaotarajiwa kuchangia zaidi ya asilimia 70 ya gharama za utekelezaji.
mzalendo.co.tz ↗Tanzania is strengthening its engagement with the African Trade and Investment Development Insurance (ATIDI) to support private sector-led growth, as the country targets a 70% private sector contribution to the economy under its Development Vision 2050.
tanzaniainvest.com ↗Her message comes at a critical time for Tanzania, whose population is projected to grow from about 67 million today to over 120 million by 2050.
thecitizen.co.tz ↗The Tanzanian government has stated that the recommendations contained in the Economic Freedom Audit Report will drive policy reforms, strengthen economic freedom, and significantly contribute to Tanzania’s journey towards a strong and competitive economy by 2050.
dailynews.co.tz ↗Best goal: 'Generate TZS 70 million in revenue, with 8 new clients in Q1–Q2 via content marketing.'
tanzlite.com ↗Lead generation: 90 qualified inquiries per year.
mwananchi.co.tz ↗Retention: 70% repeat business.
bongo5.com ↗Target ARPU of TZS 5 million.
CAC under TZS 300k.
Dk Mwigulu amewataka wakuu wa mikoa kusimamia kikamilifu maandalizi na mapokezi ya wanafunzi wa elimu msingi ya lazima ya miaka 10, watakaojiunga na kidato cha kwanza mwaka 2028 kwa kukamilisha miundombinu na huduma zote muhimu.
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba ameyabainisha hayo leo Bungeni Dodoma wakati akiwasilisha hotuba ya mapito na mwelekeo wa kazi za Serikali, Makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2026/27 ambapo amesema kuwa utekelezaji wa Dira 2050 unakusudia kuifanya Tanzania kuwa na uchumi wa thamani ya dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050, huku wastani wa pato la mtu mmoja mmoja ukitarajiwa kufikia dola 7,000 kwa mwaka.
ECONOMY
19
10
7
Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict
Maelezo ya Ziada
In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.
thechanzo.com ↗wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.
mwananchi.co.tz ↗Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.
thecitizen.co.tz ↗wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.
globalpublishers.co.tz ↗Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.
mwananchi.co.tz ↗The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.
dailynews.co.tz ↗Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani
globalpublishers.co.tz ↗Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.
mzalendo.co.tz ↗Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.
mzalendo.co.tz ↗Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.
bongo5.com ↗Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.
Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”
Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.
The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.
Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.
Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.
TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI
Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8 kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.
Maelezo ya Ziada
Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.
mwananchi.co.tz ↗William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo
dailynews.co.tz ↗PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.
habarileo.co.tz ↗Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.
mwananchi.co.tz ↗Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.
thecitizen.co.tz ↗Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.
dailynews.co.tz ↗Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.
habarileo.co.tz ↗Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.
habarileo.co.tz ↗Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.
globalpublishers.co.tz ↗According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.
globalpublishers.co.tz ↗Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.
mzalendo.co.tz ↗Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.
swahilitimes.co.tz ↗Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.
mwananchi.co.tz ↗All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.
Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.
WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.
Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.
Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.
William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.
Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.
PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.
President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.
DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.