
Gundua
932 habariHabari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta
Unaona habari zinazohusishwa na Global Publishers chini (pamoja na mengine ya Gundua).

246 Areas Identified for Urgent Reform in Tanzania's Blueprint II · 246 Suspected Ebola Cases and 80 Reported Deaths in DRC
Ebola

Afya na Huduma za Jamii
Hanta virus
Wataalamu wa afya duniani wamesema hakuna sababu kubwa ya tahadhari kupita kiasi kuhusu mlipuko wa Hantavirus ulioripotiwa kuhusishwa na meli…

Habari
Iran Conflict
Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa China Xi Jinping wamekubaliana kwamba njia muhimu ya mafuta duniani ya Strait…

Global TV Online
Bajeti ya Serikali Tanzania yapaa h…
Serikali imesema katika mwaka wa fedha 2026/25 imepanga kutoa msamaha wa kodi ya mapato kwa wafanyabiashara wapya kwa kipindi cha…

Habari
Mexico yaianza kombe la dunia kwa u…
Mchezo wa mashindano ya Dunia 2026 kati ya Mexico na South Korea utakaochezwa usiku wa kuamkia Juni 19 saa 04:00…

Habari
Tanesco yazindua kituo cha kuchajia…
Waziri wa Fedha wa Zanzibar, Khamis Mussa Omar, amesema Serikali imependekeza hatua mbalimbali za kikodi zitakazochochea matumizi ya nishati safi…

Mazingira na Hali ya Hewa
Nchimbi mgeni rasmi siku ya mazingi…
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) imetangaza rasmi ratiba ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani…

Michezo
Nani Kuibuka Mfungaji Bora Kombe la…
Leo hii tena tutaenda kushuhudia mechi zingine mbili kwenye michuano hii Mikubwa Duniani. Kila timu inataka kupambana kwa hali na…

Hadithi
Wajasiriamali iringa watakiwa kuong…
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amehitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Iringa kwa kuwataka viongozi na watumishi wa umma kuendelea…

Habari
Saudi Arabia vs Uruguay Kombe la Du…
Kuanzia tarehe 11 June tutaenda kushudia vipaji vya maana kwenye michuano hii ya Kombe la Dunia ambapo tayari Meridianbet imeshakupatia…

Burudani
Meridianbet Yaleta Zawadi za Zaidi …
Kama unapenda michezo ya kasino yenye msisimko wa hali ya juu, Meridianbet imekuandalia SmartSoft Spin & Win Instant Prizes Tournament…

Habari
Benki ya Exim Tanzania yaendesha zo…
Benki ya Exim Tanzania leo Juni 10, 2026 imeendesha zoezi la la uchangiaji damu wa hiari kitaifa kwa kushirikiana na…

Michezo
Takwimu zinaongea: Brazil v Morocco
Timu ya taifa ya Morocco imeonyesha uimara mkubwa kwa kuibana Brazil na kulazimisha sare ya mabao 1-1 katika mchezo wa…

Habari
NMB yaingia katika awamu mpya ya uk…
Benki ya NMB imetangaza kuingia katika awamu mpya ya ukuaji baada ya kukamilisha Mpango wake wa Muda wa Kati…

Michezo
Brazil vs Haiti FIFA Kombe la Dunia…
Timu ya taifa ya Ujerumani imeanza kwa kishindo kampeni yake ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa Curaçao mabao…

Habari
Trump: Makubaliano ya Amani Iran na…
Rais wa Marekani, Donald Trump leo Juni 17, 2026 amesema anatarajia njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani, katika mlango…

Global TV Online
TAKUKURU Yawafikisha Mahakamani Wat…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita imewafikisha mahakamani watumishi tisa wa umma kwa tuhuma za…

Habari
Rais wa Namibia kuwasili Tanzania z…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amempokea Rais wa Jamhuri ya Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah aliyewasili nchini…

Habari
Rais samia amuapisha jingu,asisitiz…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. John Antony Jingu kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama…

Habari
Serikali kuwainua vijana kupitia ut…
Serikali imesema itaendelea kuimarisha elimu ya ujuzi na umahiri ili kuwajengea vijana uwezo wa kujiajiri na kuhimili ushindani wa soko…

Michezo
Nyuma ya Cristiano Ronaldo kuna mre…
Mchezo huu una umuhimu wa kihisia kwa Nigeria, kwani wanakumbwa na kumbukumbu ya kipigo cha 4-0 walichopokea kutoka kwa…

Habari
Kamanda wa Polisi Tabora SACP Richa…
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, amethibitisha kifo cha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao, kilichotokea katika…

Habari
Mechi ya Moto: Argentina Kukutana n…
Safari ya kuanza kutengeneza ndoto huanza mapema, ambapo kupitia michuano hii mikubwa Duniani ainayoendelea una nafasi nzuri ya kutimiza malengo…

Global TV Online
Wagonjwa 823 kufanyiwa upasuaji mac…
Babati, Manyara – Kwa miaka mingi wananchi wa Kijiji cha Kiru Six, Kata ya Kiru, Wilaya ya Babati mkoani Manyara…

Burudani
Play’n GO na Meridianbet Waungana K…
Meridianbet imeendelea kuthibitisha nafasi yake kama jukwaa linaloongoza kutoa burudani ya mtandaoni kwa kumleta mtoa huduma mpya, Play’n GO. Hii…

Michezo
New Zealand vs Belgium FIFA Kombe l…
Timu za Kiarabu zimekuwa na matokeo tofauti katika Kombe la Dunia 2026, huku Misri ikiandika historia kwa kupata ushindi wake…

Habari
Ureno na Uingereza Kuvuta Hisia za …
Ni banduka bandua tena leo hii michuano mikubwa Duniani itaendelea kwa mechi za ushindi. Lakini kwa upande wa Meridianbet wanasema…

Burudani
Ufaransa vs Iraq Kombe la Dunia 202…
Norway na Ufaransa zimekwishafuzu kwa hatua ya 32 Bora baada ya kushinda mechi zao mbili za awali. Hata hivyo, mechi…

Michezo
Yanga yazima jeuri ya Azam, Simba y…
Yanga wameendelea kusogea karibu zaidi na ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya…

Michezo
Matukio ya kusisimua Kombe la Dunia…
Shirikisho la Soka la Algeria limelalamikia kile lilichokiita dhuluma ya uamuzi wa waamuzi kwa FIFA kufuatia kipigo cha mabao 4-0…

Global TV Online
Prediction Afrika Kusini vs Canada …
Afrika Kusini walianza Kombe hili wakitazamiwa kuwa chini kabisa katika Kundi A, lakini wamevunja matarajio yote kwa kufuzu kwa mara…

Global TV Online
Sio Mizunguko ya Bure Tu, Meridianb…
Sasa una uhakika wa kupata msisimko wa kasino bila ya kutoka nyumbani. Vilevile, hivi sasa unapata mchezo unaokupa pesa huku…

Michezo
TRA, JKT wana vita yao wenyewe Ligi…
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo Juni 18, 2026 wamerejea kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya…

Habari
Wizara ya fedha yawakaribisha wanan…
Takribani ya wafanyabiashara 3,752 waliopo nchini pamoja na nchi 23 zinatarajiwa kushiriki Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa maarufu…

Habari
Marekani, Iran sasa kujifungia Doha…
MAREKANI na Iran wamekubaliana kusitisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya kila upande, hatua inayolenga kupunguza mvutano uliokuwa ukitishia usalama wa…

Habari
Wafugaji wakoshwa na mpango wa stak…
Benki ya NMB imetoa zaidi ya Sh180 bilioni kufadhili wafugaji na biashara katika mnyororo wa thamani wa mifugo, ikiwemo…

Michezo
Norway yaiondosha ivory coast kombe…
Mchezo wa Raundi ya 32 ya michuano ya Dunia 2026 kati ya Ivory Coast na Norway Leo June 28 saa…

Burudani
Meridianbet Yageuza Msaada wa Taulo…
Kuna nyakati ambazo msaada haupimwi kwa ukubwa wake, bali kwa athari yake katika maisha ya wanaoupokea. Hiyo ndiyo simulizi…

Habari
Makamu wa rais amwakilisha rais sam…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumatano, Julai 1, 2026, amewaapisha viongozi aliowateua hivi…

Michezo
Prediction Paraguay vs Australia FI…
EAST RUTHERFORD, New Jersey: Nahodha wa Ufaransa, Kylian Mbappe, aliendelea kuonyesha ubora wake katika Kombe la Dunia 2026 baada ya…

Makala
Fahamu Jinsi Stoberi Inavyosaidia K…
Mchai chai ni moja ya vinywaji vinavyopendwa sana Afrika Mashariki kutokana na ladha yake tamu pamoja na viungo vyenye manufaa…

Habari
Miaka 50 ya sabasaba: rais samia ae…
Morogoro, Juni 2026 –Kampuni ya Mawasiliano ya Yas, imesema inaendelea kujivunia kuwa sehemu ya wadau wanaounga mkono mbio za TCB…

Habari
Balozi omar: sabasaba ni fursa ya k…
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) yameendelea kuwa daraja…

Habari
Mwili wa Dereva wa Heche Wasafirish…
Mwili wa aliyekuwa dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, Suez Dani Maradufu, umekabidhiwa kwa ndugu na viongozi wa…

Habari
Vodacom Tanzania yang’ara kwenye uz…
Hafla hiyo ilihudhuriwa na Marais wawili, Dkt. Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na Daniel Chapo wa Msumbiji, ikisisitiza umuhimu…

Michezo
Yanga Yatwaa Ubingwa wa 32 Ligi Kuu…
Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, Prince Dube, amekamilisha rasmi uhamisho wake na kujiunga na klabu ya Hardrock FC baada ya kusaini…

Michezo
Ujerumani Yafanya Comeback Ya Kusis…
Shirikisho la Soka la Ujerumani (DFB) limethibitisha kuwa limeanza mazungumzo ya awali na kocha wa zamani wa Liverpool, Jürgen Klopp,…
Habari nyingine

Michezo
Bayern Yasajili Nyota Mpya wa Ujerumani kwa Mkataba Mrefu

Global TV Online
JWTZ Yatoa Onyo Dhidi ya Wito wa Vurugu, Yawahimiza Wananchi Kudumisha Amani – Video

Ajira
Global TV Yatangaza Nafasi ya Kazi ya Motion Graphics Editor, Mwisho Maombi Julai 7, 2026

Michezo
Colombia Yaiondoa Ghana Kombe la Dunia Yashinda 1-0, Kucheza na Uswisi Hatua ya 16 Bora
Timu ya taifa ya Colombia imefuzu hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi…

Michezo
Canada na Morocco Kukiwasha Leo Kombe la Dunia 2026, Nani Atatinga Robo Fainali?

Afya
Fahamu Kwa Nini Mafuta ya Mawese Yanatajwa Kuwa na Virutubisho Muhimu?

Ajira
Nafasi za Customer Care Zatangazwa Dar, Mshahara wa Hadi Sh450,000

Michezo
Misri Yatinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia Baada ya Kuiondoa Australia kwa Penalti

Burudani
Mzuka wa Mabingwa Yavuruga Ratiba Za Burudani Kwa Vijana

Michezo
Ujerumani Yaanza Mazungumzo na Klopp Kuchukua Timu ya Taifa

Burudani
Justin Bieber Aweka Rekodi kwa Mafanikio ya Kifedha na Muziki
Nyota wa muziki wa pop duniani, Justin Bieber, ameendelea kujijengea umaarufu mkubwa si tu kupitia muziki bali pia kupitia utajiri…

Mahaba
Suluhisho Kwa Wapenzi Wanaogombana Kila Mara, Soma Hapa

Habari
GF Trucks Yaibuka Kinara Sabasaba, Yatwaa Tuzo ya Banda Bora Tena

Habari
TIRA Yazindua Rasmi Kijiji cha Bima katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Maonesho ya Saba Saba

Magazeti
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 4, 2026

Afya
Fahamu Makundi Matatu ya Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo

Habari
Mwili wa Dereva wa Heche Wasafirishwa Kwenda Tarime kwa Mazishi (Picha +Video)

Habari
Rais Samia: Sabasaba Ni Daraja Linaloiunganisha Tanzania na Dunia (Picha +Video)
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) yameendelea kuwa daraja…

Habari
Fahamu Maajabu ya Magari ya Jetour na Sababu Zinazoyafanya Yazidi Kupata Umaarufu

Global TV Online
Advela na Mama Yake Wamshukuru Shigongo kwa Kuwagharamia Matibabu ya Miguu – Video
POLITICS
7
7
4
Keir Starmer's Resignation as UK Prime Minister
Maelezo ya Ziada
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na uongozi wa chama tawala cha Labour.
swahilitimes.co.tz ↗Starmer confirmed that he would step aside and oversee a smooth transfer of power, telling the country that Britain needed fresh leadership to restore stability at a moment of rising political strain inside the Labour Party.
dailynews.co.tz ↗Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametangaza kujiuzulu wadhifa wake na uongozi wa Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz ↗Kuwasili kwa mwanasiasa huyo mahiri, ambaye hadi wiki iliyopita alikuwa Meya wa Greater Manchester, kunajiri saa chache baada ya Keir Starmer kutangaza kujiuzulu rasmi wadhifa wa Waziri Mkuu kutokana na shinikizo kubwa la kisiasa ndani ya Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz ↗Kujiuzulu kwa Starmer kunahitimisha safari ya kisiasa iliyokuwa imeanza kwa matumaini makubwa baada ya ushindi wa kihistoria wa Labour katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.
mwananchi.co.tz ↗Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu wadhifa huo, akisema anaheshimu mawazo ya chama chake cha Labour, baada ya mpinzani wake kuibuka kidedea Ijumaa iliyopita.
ippmedia.co.tz ↗Starmer anang’oka uwaziri mkuu, zinawadia zama mpya za siasa UK
mwananchi.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Vision 2050, which seeks to transform the country into a high-income, industrialled economy valued at 1 trillion US dollars.
dailynews.co.tz ↗Utekelezaji wa DIRA 2050, unaokadiriwa kugharimu takribani dola za Marekani trilioni 1, utategemea kwa kiasi kikubwa uwekezaji wa sekta binafsi unaotarajiwa kuchangia zaidi ya asilimia 70 ya gharama za utekelezaji.
mzalendo.co.tz ↗Tanzania is strengthening its engagement with the African Trade and Investment Development Insurance (ATIDI) to support private sector-led growth, as the country targets a 70% private sector contribution to the economy under its Development Vision 2050.
tanzaniainvest.com ↗Her message comes at a critical time for Tanzania, whose population is projected to grow from about 67 million today to over 120 million by 2050.
thecitizen.co.tz ↗The Tanzanian government has stated that the recommendations contained in the Economic Freedom Audit Report will drive policy reforms, strengthen economic freedom, and significantly contribute to Tanzania’s journey towards a strong and competitive economy by 2050.
dailynews.co.tz ↗Best goal: 'Generate TZS 70 million in revenue, with 8 new clients in Q1–Q2 via content marketing.'
tanzlite.com ↗Lead generation: 90 qualified inquiries per year.
mwananchi.co.tz ↗Retention: 70% repeat business.
bongo5.com ↗Target ARPU of TZS 5 million.
CAC under TZS 300k.
Dk Mwigulu amewataka wakuu wa mikoa kusimamia kikamilifu maandalizi na mapokezi ya wanafunzi wa elimu msingi ya lazima ya miaka 10, watakaojiunga na kidato cha kwanza mwaka 2028 kwa kukamilisha miundombinu na huduma zote muhimu.
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba ameyabainisha hayo leo Bungeni Dodoma wakati akiwasilisha hotuba ya mapito na mwelekeo wa kazi za Serikali, Makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2026/27 ambapo amesema kuwa utekelezaji wa Dira 2050 unakusudia kuifanya Tanzania kuwa na uchumi wa thamani ya dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050, huku wastani wa pato la mtu mmoja mmoja ukitarajiwa kufikia dola 7,000 kwa mwaka.
ECONOMY
19
10
7
Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict
Maelezo ya Ziada
In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.
thechanzo.com ↗wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.
mwananchi.co.tz ↗Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.
thecitizen.co.tz ↗wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.
globalpublishers.co.tz ↗Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.
mwananchi.co.tz ↗The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.
dailynews.co.tz ↗Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani
globalpublishers.co.tz ↗Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.
mzalendo.co.tz ↗Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.
mzalendo.co.tz ↗Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.
bongo5.com ↗Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.
Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”
Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.
The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.
Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.
Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.
TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI
Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8 kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.
Maelezo ya Ziada
Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.
mwananchi.co.tz ↗William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo
dailynews.co.tz ↗PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.
habarileo.co.tz ↗Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.
mwananchi.co.tz ↗Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.
thecitizen.co.tz ↗Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.
dailynews.co.tz ↗Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.
habarileo.co.tz ↗Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.
habarileo.co.tz ↗Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.
globalpublishers.co.tz ↗According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.
globalpublishers.co.tz ↗Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.
mzalendo.co.tz ↗Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.
swahilitimes.co.tz ↗Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.
mwananchi.co.tz ↗All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.
Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.
WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.
Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.
Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.
William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.
Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.
PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.
President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.
DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.