Zawadi za Sh milioni 12 kwa Washindi wa Mbio za Kilometa 42
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Zawadi za Sh milioni 12 kwa Washindi wa Mbio za Kilomet… · imesasishwa 10 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- DAR ES SALAAM: BENKI ya CRDB imetenga zaidi ya Sh milioni 120 kwa washindi wa mbio za marathon zitakazofanyika Agosti 16 Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na mgeni rasmi Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba.
- Zawadi kwa atakayetwaa medali ya dhahabu kwa mbio za kilometa 42 atazawadiwa Sh milioni 12, huku washindi wengine wa pili mpaka sita nao wakitarajiwa kuondoka na fedha kwa viwango tofauti.
- Kwa upande wa mbio za Kilometa 21, atakayetwaa medali ya dhahabu ataondoka na Sh milioni sita na pia kutakuwa na mbio za baiskeli za Kilometa 65 zenye zawadi nono.
- Tunaendelea kuwahimiza watu kujitokeza kwa wingi kwani tutakuwa na washiriki kutoka ukanda wa Afrika Mashariki,”amesema na kuongeza: “Tumetenga zawadi za zaidi ya Sh milioni 120.
- Hakuna mdau mwingine Tanzania ambaye amewahi kutenga kiwango hicho kikubwa cha fedha .” Mbio hizo zitahusisha pia kilometa 5, 10 kwa wakimbiaji na watembeaji, huku CRDB ikisema njia zote zimefanyiwa majaribio na.