Mada zilizoorodheshwa
SIASA 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Zambia General Elections Scheduled for August 13, 2026

Habari mpya za siasa Tanzania · maelezo ya Zambia General Elections Scheduled for August 13, 2026 · masasisho 2026 · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari za siasa · serikali · sera

Muhtasari

  • LUSAKA, Zambia UCHAGUZI Mkuu nchini Zambia utafanyika Alhamisi ya wiki hii, yaani Agosti 13, 2026, na macho ya wengi yameeelekezwa katika kinyang’anyiro cha urais.
  • Matokeo ya urais yatatangazwa Agosti 17, 2026, kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi.
  • Mundubile (65), anajivunia uungwaji mkono kutoka ndani ya Chama cha Lungu, Patriotic Front, ambacho kina nguvu kubwa maeneo ya Kaskazini na Mashariki mwa Zambia.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Zambia General Elections Scheduled for August 13, 2026

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.