Mada zilizoorodheshwa
NISHATI 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Waziri wa Nishati Awasha Umeme Katika Kitongoji cha Mwanubi, Shinyanga

Habari mpya za nishati Tanzania · maelezo ya Waziri wa Nishati Awasha Umeme Katika Kitongoji cha Mwa… · imesasishwa 10 Aug 2026 · habari za nishati · umeme

Muhtasari

  • Akizungumza leo Jumatatu, Agosti 10, 2026 wakati wa hafla ya kuwasha umeme katika kitongoji hicho, Ndejembi amesema kufikishwa kwa umeme vijijini kunapaswa kwenda sambamba na matumizi yenye tija, ikiwemo kuongeza.
  • Ndejembi amewahimiza wananchi ambao miundombinu ya umeme imewafikia kuchangamkia fursa hiyo kwa kuunganishiwa huduma kwa gharama nafuu ya sh 27,000, na kutumia umeme katika shughuli mbalimbali za uzalishaji na kujiletea.
  • Na mwandishi wetu, Gazetini WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amewasha umeme katika Kitongoji cha Mwanubi mkoani Shinyanga na kusema kuwa huduma ya umeme ni hitaji la msingi kwa Watanzania na nyenzo muhimu katika.
  • Amesema Serikali inaendelea kuhakikisha wananchi wengi zaidi wanafikiwa na huduma ya umeme, hususan katika maeneo ya vijijini, ili nishati hiyo iwe kichocheo cha uzalishaji, ongezeko la kipato na uboreshaji wa maisha ya.
  • Aidha, ameiagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kufanya tathmini ya maeneo ambayo bado hayajafikiwa na miundombinu ya umeme ili yaingizwe katika mipango ya utekelezaji na kufikishiwa huduma hiyo.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Waziri wa Nishati Awasha Umeme Katika Kitongoji cha Mwa…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.