Mada zilizoorodheshwa
CONSTRUCTION 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Wateja Wanaahirisha Miradi ya Ujenzi kwa Sababu ya Bei ya Simenti

Habari mpya za construction Tanzania · maelezo ya Wateja Wanaahirisha Miradi ya Ujenzi kwa Sababu ya Bei… · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo

Muhtasari

  • Katika baadhi ya mikoa ya Kanda ya Ziwa, bidhaa hiyo imeongezeka bei na kuuzwa hadi Sh. 26,000 kwa mfuko wa kilo 50 katika baadhi ya maeneo.Mkoani Tabora, uchunguzi wa waandishi wetu unaonyesha mfuko mmoja wa simenti ya.
  • Wateja wengi wamelalamika kwa sababu hali hii imeathiri miradi yao ya ujenzi," alisema Kimati.Bakari Humud, maarufu kama Bokalao, mkazi wa Kata ya Mabawa, alisema ongezeko la bei limewaathiri wanaojenga na wanaotumia.
  • Kuna wakati mabosi hawakuniamini, lakini baadaye walielewa kutokana na hali ilivyo," alisema Humud.Mwananchi mwingine, Mwanaidi Rajabu, alisema simenti ilianza kupanda Aprili mwaka huu ambapo mfuko mmoja ulianza kuuzwa.
  • Hali hii imepunguza mauzo kwa sababu baadhi ya wateja wanasita kununua wakiamini huenda bei zikashuka," alisema Kessy.Kilio cha bei ya saruji kimesikika pia kwa wananchi wa Mikoa ya Arusha na Manyara, ambako imeongezeka.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Wateja Wanaahirisha Miradi ya Ujenzi kwa Sababu ya Bei…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.